Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Sorry chief out of topic, nikicheza gem ya mpira mwili wangu hauna tatizo, ila nikicheza gem za mishen kama GTA, Uncharted na mengineo iwe kwenye console au pc lazma nihisi kizunguzungu, hapo tatizo linaweza kuwa nini? japo kuna jamaa yangu amenambia nitafute miwani kwa ajili ya kichwa.

Unatumia system gan kama pc au ps3 na ps4
 
Emmilian paul,
Naipataje hiyo, vipi na signing za players till last summer zipo completed zote? Ama Pogba bado yupo Juventus? nalipataje hilo.. plse share download link
 
naipataje hiyo aise, vipi na signing za players till last summer zipo completed zote?.. ama Pogba bado yupo Juventus?.. nalipataje hilo.. plse share download link
Ya 2017 niliyonayo me...pogba yuko man u...ibrah...oscar ashaama chelsea
 
52e019f20e4d53233c7d7ece2e970e38.jpg
 
Sorry chief out of topic, nikicheza gem ya mpira mwili wangu hauna tatizo, ila nikicheza gem za mishen kama GTA, Uncharted na mengineo iwe kwenye console au pc lazma nihisi kizunguzungu, hapo tatizo linaweza kuwa nini? japo kuna jamaa yangu amenambia nitafute miwani kwa ajili ya kichwa.
Graphics mkuu, mimi nikicheza vice city au games za zamani sometime nasikia hadi kutapika.
1. Hakikisha una monitor nzuri
2. Cheza games kwa quality nzuri
3. FPSziwe za kutosha

Hutapata hilo tatizo, GTA V mimi sisikii tatizo lolote.

Cheki hapa motion sickness ya video games

How to Deal With Motion Sickness Caused by Video Games
 
Nilicheza PES zaman sana na ndio nilipoanza kucheza kipind natumia Pc enzi hzo as ways goes nikahamia FIFA nalo kwenye pc as well
But sjacheza PES kwenye PS4 ila nmecheza FIFA sana kwenye PS4 na nikilinganisha ugumu through Pc experience PES ilikuwa rahis sana mashuti ya kufungia kati kat ya uwanja kawaida sana ila kwenye FIFA Sio rahis aisee

Ila kama kuna mtu anaweza kusaidia kufanya update ya Fifa 17 kwenye PS4 kwenye Squad List na Transfer Pamoja na Uwezo wa wachezaj Ningeshukuru sana, So far sina mpango wa Kununua Cd ya Fifa 18 Recently.

C.c [URL='https://www.jamiiforums.com/members/chief-mkwawa.44606/']Chief-Mkwawa[/URL]
 
Bonny, Ni game halali sio? Connect wifi then update kihalali kwenye customize kuna option ya kuangalia updates angalia hii video.


Nakushauri tu usiongeze nguvu game litakuwa halina ladha kabisa utalichoka,
 
Chief-Mkwawa,
MKuu unaweza nsaidia link ni download PES 2018,
Maana nikidownload wananidai pin code,wanasema pin code haipo kwa eneo langu
Nisaidie link ambayo nikidownload mb zangu haziwez potea,nishapoteza mb kwa kudownload baadaye wanadai pin
 
Back
Top Bottom