Maelezo kdgo mkuu hiyo journey ndo kitu gan?
ni kama become a legend ya kwenye pes ambayo unamchezesha mchezaji mmoja ila FIFA wameidesign next level.
wewe unakuwa kama Alex hunter kinda wa academy una rafiki yako mnatoka pamoja academy, kunaitishwa competition ya kutafuta vipaji mnaenda pamoja na wote wawili mnasajiliwa timu moja ya premier league (unachagua mwenyewe),
ukiwa timu yako mpya striker anaumia wakati unadhani ndio wakati wa kupewa chance kikosi cha kwanza anasajiliwa harry kane au kama upo spurs anasajiliwa di maria. then unakaa bench
premier league inakushinda unatolewa kwa mkopo timu ya championship kama ni newcastle au norwich, yule rafiki yako anabaki premier league, baadae rafiki yako anakuja kujiona bab kubwa mnazinguana, unafanya vizuri januari unarudi premier league na rafiki yako anauzwa timu pinzani, mnaeza kutana fainali FA au ubingwa wa ligi etc.
stori inategemeana unacheza vipi, mfano ukifanya vizuri mazoezini kocha anakukubali unaanza mechi nyigi, ukiongea pumba mbele ya waandishi wa habari kocha anakuwa hakupendi sana, ukimsifia sana kocha mashabiki nao wanakuona sie, ukiwa na.mashabiki wengi social media unapata sponsors za adidas kwenye matangazo na viatu etc.
kama pc yako inakubali FIFA 17 ijaribu utapata experience mpya kabisa.
part 2 ya hii story inaendelea fifa 18, huko sasa ndo utakutana na masuper star kina Ronaldo.