Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Sababu ziko tofauti..

Mimi

1. Far cry 6
Hili rasmi nmelifuta leo, sikulimaliza bt sikulipenda nahisi game play yake halivutii kabisa. Gb 100

2. Dying light 2; stay human
graphics nzuri ni third personal, bt bora ingekuwa kutumia bunduki sasa ni mwendo malee weapon tu. Lilikuwa na Gb 90+

3. God of war 4
lina mwaka kwa kweli naliona gumu mno gb 66.

4. Sniper ghost worrier 3,
Nililiona gumu sana pia

1000029850.jpg
1000029851.jpg
 
Days gone mission za kupigana na horde nilitaka kufuta game lakini bado nalipenda mpaka nikaingia YouTube kuangalia wengine wanafanyaje hatimae jana nimeliza kupiga makundi yote 39 ya kwenye map sio kazi rahisi nimekufa sana sasa nahema vizuri ni game ambalo nilikua nalifikilia hata Nikiwa kazini
 
Hakuna moment nzuri nilikuwa napenda kama kupigana na horde.. hapo uwe na bunduki heavy, mabomu ya kutega na kurusha na glowers.
Naanza kutega mabomu mlango wa pango

Tafuta na world war Z.

Nalo tamu sana humo mazombie hatari. Tena me bado sijalifuta.
1000030002.png
 
K
Days gone mission za kupigana na horde nilitaka kufuta game lakini bado nalipenda mpaka nikaingia YouTube kuangalia wengine wanafanyaje hatimae jana nimeliza kupiga makundi yote 39 ya kwenye map sio kazi rahisi nimekufa sana sasa nahema vizuri ni game ambalo nilikua nalifikilia hata Nikiwa kazini
Kwenye cimu litacheza?
 
Kwa sim
Ninja Assassin
Hili nilimaliza mission zote nikilimiss nalidownload Tena

Asphalt Airbone
Limenyooka sema mission nyingi mno

FC mobile
Hili bado sijalipata leny tournament mode ,mpk la 2019
 
Hakuna moment nzuri nilikuwa napenda kama kupigana na horde.. hapo uwe na bunduki heavy, mabomu ya kutega na kurusha na glowers.
Naanza kutega mabomu mlango wa pango

Tafuta na world war Z.

Nalo tamu sana humo mazombie hatari. Tena me bado sijalifuta.View attachment 3093865
Hizo graphics Kali sana mkuu japo ni screenshot vipi gaming machine yako ina specs zipi.
 
Back
Top Bottom