Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

Hivi siku hizi kuna games gani nzuri za magari nataka nim downloadie mtoto wangu
Mkuu ukilipata naomba unitag. Mimi natafuta game zuri la car racing tofaut na speed4 na underground racing. Game tofauti na hilo.


Pia kulikuwa na city bus racing ila nilishalitfuta nipate cracked naona chenga
 
GTA San Andreas ile mission ya kuwakimbiza wale wa mexico kwenye train na pikipiki nikiwa na big smoke kabla ya kuvuka daraja!

Nilijaribu kama mara 20 ndio nikafanikiwa
 
Back
Top Bottom