Ohoo kwa simu...View attachment 3093719Hili siwezi futa nalipenda mnoooo,
Ni game linalonifanya ninununue simu haraka pindi niitumiayo inapopata shida
ndioOhoo kwa simu...
Hakuna moment nzuri nilikuwa napenda kama kupigana na horde.. hapo uwe na bunduki heavy, mabomu ya kutega na kurusha na glowers.Days gone mission za kupigana na horde nilitaka kufuta game lakini bado nalipenda mpaka nikaingia YouTube kuangalia wengine wanafanyaje hatimae jana nimeliza kupiga makundi yote 39 ya kwenye map sio kazi rahisi nimekufa sana sasa nahema vizuri ni game ambalo nilikua nalifikilia hata Nikiwa kazini
Nilichezaga PES 2011 sijui 12 vile, nikaja kuicheza FIFA ya 2012, hapo ndipo nikalifuta PES akilini mpaka kwenye mashine. FIFA wako mbali saaaana kuringanisha na PES.Euro niliwahi cheza
Pes me ya mwisho kucheza ilikuwa pes2017
Baadae nikahamia fifa hadi leo niko fifa. Ndio no 1 game langu pendwa.
PcKwa simu au pc?
Forza horizon 5
Dirt 5
The crew
Wrc
Kwenye cimu litacheza?Days gone mission za kupigana na horde nilitaka kufuta game lakini bado nalipenda mpaka nikaingia YouTube kuangalia wengine wanafanyaje hatimae jana nimeliza kupiga makundi yote 39 ya kwenye map sio kazi rahisi nimekufa sana sasa nahema vizuri ni game ambalo nilikua nalifikilia hata Nikiwa kazini
Hizo graphics Kali sana mkuu japo ni screenshot vipi gaming machine yako ina specs zipi.Hakuna moment nzuri nilikuwa napenda kama kupigana na horde.. hapo uwe na bunduki heavy, mabomu ya kutega na kurusha na glowers.
Naanza kutega mabomu mlango wa pango
Tafuta na world war Z.
Nalo tamu sana humo mazombie hatari. Tena me bado sijalifuta.View attachment 3093865