Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Natamani kujua game ambazo zina ongoza kupendwa na watumiaji wa simu za mkononi Tz...

Una game zipi kwenye simu yako?
According to Playstore ni Sportpesa (japo wamechapia sio game), Dream league soccer, subway surfer (princess), water sort puzzle, traffic and driving simulator, pool billiards na block blast.

Ingia playstore kwenye category tafuta top charts hizo zinakuwa sorted na region unayotoka.
 
Wasio cheza games wanaona kama vile tunafanya utoto na wakati kucheza game ni starehe kama kwenda bar kulewa au kucheza mziki na kuna zile mind game zina changamsha Sana akili ukiwa bongo lala hutoboi
Majina yake sasa [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…