Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

Hii township Ina categories gani mkuu?
Hii una act as a mayor wa mji mdogo ko unasimamia ujenzi wa viwanda nyumba miundombinu. Maswala ya usafirishaji biashara Pia maswala ya kilimo kwa ujumla ni moja ya game yangu pendwa huu mwaka wa nne na cheza hii game unaweza jaribu pia nirahisi sana
 
Napenda games kama hizo!!
Iko playstore!?
 
Siwezi kulala bila kumnyuka huyu jamaa..
 
Attachments

  • Screenshot_20231225-215745_Pool Billiards Pro.jpg
    Screenshot_20231225-215745_Pool Billiards Pro.jpg
    145.7 KB · Views: 15
1. Fruit burst
2. World bus driving simulator
3. Checkers (draught)
 
Back
Top Bottom