Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Unapigwa.Aliyefungua video inasemaje?
Bumunda anasemaAliyefungua video inasemaje?
System ndio nini?System inamjua nini kinamsumbua. Usifikiri hawana akili
Inasikitisha sanaWaanze na sheria ya kuzuia SMS za kamari. Niliwahi kuwapigia mtandao mmoja na kuwataka wasinitumie SMS zao za kamari lakini hawakomi.
Siku hizi hadi TV ya taifa inahamasisha kamari. Vijana wa shule ni wataalamu wa kusuka mikeka kuliko mipango ya kujibidiisha kwenye mambo yenye tija kama soft skills.
Walimu?Ukiondoa unafiki wa matangazo, PM kaamua kuwafumbua macho kiaina. Mwenye masikio na asikie
SijakusomaWalimu?
Walimu wanacheza sana kamaliSijakusoma