Gaming PC hii hapa

Gaming PC hii hapa

Slot za kuweka Ram zipo 4 hapo zimetumika 2 tu za 8gb kufanya 16gb
 
Hio nvidia quadro naionaga ni nzuri kwa kazi za designing, rendering na engineering. Bei nzuri.
Yeah ndio nzuri Kwa Hizo shughuli ila mambo ya gaming ni mx 920 ,GTX 1050,1650 na rtx 2060 mpaka 4060 🔥 Hawa ndo wakali wa kazi zote nzito
 
Back
Top Bottom