Computer4Sale Gaming pc inauzwa ni machine haswaa

Mshangazi eti una nini na nini šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚ af nlikuwa sjastukaa Hadi member mmoja alipofungua code
 
Iyo pc unasema Ina nividia graphic , Kuna nividia GeForce 1050, 10.., 40..Rtx
Mimi ya kwangu generation ya saba Ina nividia GeForce 1050, ya kwako nazani Iko chini ya hapo ,haita kuwa na graphic nzuri kwa modern game
 
Lakini Haizuii hii kuwa gaming pc kwa uwezo wake... lakini haina maana pc kuwa gaming inatumika kwenye games tu...
kuna watu wa graphics, programming, 3D modelling e.t.c..
 
Back
Top Bottom