Gamond: Azam ndio kipimo sahihi Kwa Yanga kuliko simba

Umenikumbusha magazeti ya Alaasiri na Dar Leo...
Utakutwa kichwa cha habari "OSAMA AKAMATWA"!.
Ukisoma ndani kumbe aliyekamatwa ni bwana Husein Sharif a.k.a OSAMA wa Mtoni kwa Azizi Ali!!!.
MKAPA afumaniwa guest mbagala; ukisoma ndani kumbe ni bwana Hamisi Juma Mkapa mmakonde mmoja kutoka nanjilinji huko ndiye alutefumaniwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni suala la muda tu . Ngoja hao vijana wa simba wapate muunganiko hayo maneno atayasema akiwa na mabegi uwanja wa ndege wa Julius akirudi kwao baada ya kibarua kutota
Kwanza kocha hakusema maneno hayo, yule ni professional hawezi kutoa kauli za aina hii. Mleta uzi kaamua tu kununua ugomvi na mashabiki wa Simba kwa kuwakera
 
Azam niliyoiona juzi hamna kitu Wala asiogope, kunamakosa kibaoo walikua wanafanya kwa wachezaji kama Dube,Aziz K, Pacome,max na Abuya fundiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Azam watakula 4.
 
Kwa maoni yangu na nilivowaona azam hawaambulii kitu sema tu dada yake huwa anatumia muda huu kufanya ufedhuri ili azam ashinde

Ila simba wako vzr kuliko azam
 
mpira wa africa bado upo chini sana yanga wanatimu ya kawaida sana sema kelele za vyombo vya habari ni nyingi sana
Timu ya Uingereza huwa ni kawaida sana lakini kelele za vyombo ni nyingi vile vile. Yanga kuwa na timu ya kawaida au sio ya kawaida sio jibu linaloweza kupatikana kwa sasa bali katikati ya msimu. Sijui wewe unetumia kipimo gani kutoa majibu kuwa ni timu kawaida
 
Ni suala la muda tu . Ngoja hao vijana wa simba wapate muunganiko hayo maneno atayasema akiwa na mabegi uwanja wa ndege wa Julius akirudi kwao baada ya kibarua kutota
Haitakuja kutokea
 
Azam niliyoiona juzi hamna kitu Wala asiogope, kunamakosa kibaoo walikua wanafanya kwa wachezaji kama Dube,Aziz K, Pacome,max na Abuya fundiiiiii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]. Azam watakula 4.
Ahaa kumbe
 
Kwa maoni yangu na nilivowaona azam hawaambulii kitu sema tu dada yake huwa anatumia muda huu kufanya ufedhuri ili azam ashinde

Ila simba wako vzr kuliko azam
[emoji23]
 
mpira wa africa bado upo chini sana yanga wanatimu ya kawaida sana sema kelele za vyombo vya habari ni nyingi sana
Alisikika mlevi mmoja kwenye club ya gongo iliyopo buguruni,akisema maneno hayo alikuwa kashajinyea kwa muharo
 
Huyu jamaa anamitego mpaka mdomoni
Chunga sana kila neno la Gamondi
 
Amependa kuanza ligi baada ya kucheza mechi ngumu mbili za mfululizo. Kwamba mechi hizo zimempa nafasi ya kupima kikosi chake kabla ya kuanza kwa ligi.

Lakini, thread heading imetengeneza maana nyingine kabisa. Inawezekana inaleta raha kwako mlera thread, ila kuna ambao hukosa nafasi ya kuupata ukweli halisi.

Gamond ni msomi, hajawahi kuwa na tabia za ngumbaru ya kudharau timu nyingine. Ila kwa thread hii amepakwa tope, kwa tafsiri potofu akisingiziwa kuwa na tabia hiyo.

Ova
 
Azam niliyoiona juzi hamna kitu Wala asiogope, kunamakosa kibaoo walikua wanafanya kwa wachezaji kama Dube,Aziz K, Pacome,max na Abuya fundiiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Azam watakula 4.
Na wamechezea 4
 
Gamond ni msomi, hajawahi kuwa na tabia za ngumbaru ya kudharau timu nyingine. Ila kwa thread hii amepakwa tope, kwa tafsiri potofu akisingiziwa kuwa na tabia hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…