Gamond "Tumefungwa na Ihefu FC kwa bahati mbaya."

Pengine waliwakilisha kwa bahati mbaya! Maana hii ni mara ya pili kuchakazwa na

Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado niko uvunguni hadi wachezaji hao wakamatwe na polisi wahojiwe kikamilifu. Siwezi kutoa uso wangu hadharani sasa hivi.
 
Timu ilifungwa kwa sababu ya makosa ya makosa yake mwenyewe! Na wala siyo kwa bahati mbaya kama anavyotaka kuwaaminisha watu.

Yalishapita! Na historia imeshaandikwa. Tugange yajayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…