Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ihefu wanajua sana kuchomoa waya [emoji23]Yanga ni vibonde wao Ihefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ihefu wanajua sana kuchomoa waya [emoji23]Yanga ni vibonde wao Ihefu
Na hawatasahauliwa na vizazi vijavyo vya wana Uto.
Huyo hakuwemo uwanjani
Wote walikuwepo mbona!?Ambae alikosekana uwanjani ni mganga wao tuu
Na enzi zile Mbao FC ilikuwaga inawaotea kila mara Yanga.Na hawatasahauliwa na vizazi vijavyo vya wana Uto.
Nakumbuka sana enzi hizoNa enzi zile Mbao FC ilikuwaga inawaotea kila mara Yanga.
Wote walikuwepo mbona!?
Kumbe manala alikuwa sahihi. Ilikuwa ni timu ya waliokimbia sana umande
Bado niko uvunguni hadi wachezaji hao wakamatwe na polisi wahojiwe kikamilifu. Siwezi kutoa uso wangu hadharani sasa hivi.Pengine waliwakilisha kwa bahati mbaya! Maana hii ni mara ya pili kuchakazwa na
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Ihefuuuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app