Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa yafuatayo yamemuondoa gamond;
1) Ubaguzi wa
wachezaji,,Gamond alikuwa ana tabia ya kuwabagua wachezaji wale ambao alikuwa anaona awataki kwenye timu, jambo ambalo lilitengeneza mpasuko kwa wachezaji wenyewe, mfano mdogo ni kutopangwa kwa kibwana shomari wakati Yuko fit na badala yake akawa anatumia Denis nkane ambae ni winga, jambo ilo lilileta taharuki ata aliposhauriwa akutaka kumsikiliza mtu yoyote!
2) Alikuwa ashauriki,,kwenye eneo hili alikuwa aambiliki bali alikuwa na msimamo wake usioyumbishwa, daktari wa timu aliwai kumshauri juu ya kiwango cha Aziz ki wakamuomba ampumzishe kwakuwa anaonekana kashuka sana kiwango inawezekana labda ni uchovu unamuandama baada ya kutumika sana kwa misimu miwili Kila mechi lakini gamond aliziba pamba masikioni akawa anamng'ang'ania wakati anao wachezaji wengine wanaweza kucheza iyo nafasi vizuri tu kama duke abuya!
3) Mifumo yake kutobadilika,,katika hili lilikuwa linaonekana dhahiri shahiri kwamba makocha wengi walishamsoma aina ya mifumo anayotumia na alikuwa awezi kubadilika kulingana na mazingira, ndio maana timu nyingi zilikuwa zikipaki bus biashara inakuwa ngumu kwa Gamond kupata matokeo kitu kilichopelekea timu kupata ushindi wa kusuasua kwa mda mrefu!
4) Matokeo ya Azam na Tabora united,,,yale matokeo yalikuwa ni kama kuongeza petroli kwenye moto unaowaka, yaliongeza kasi ya kuondolewa kwa gamond na katu asingetoboa kwa maana tiyali viongozi walishamuweka kwenye tathmini ya kina juu ya mwenendo wake kiujumla!
5) Kupoteza uwezo wa kusimamia nidhamu ndani ya timu,,jambo hili lilikuwa linaonekana ata kwake yeye Gamond alikuwa anagombana ovyo mara na waamuzi mara na viongozi wa timu pinzani kitu ambacho kilienda mpaka kwa wachezaji ambao walikuwa wameanza kutoheshimu nidhamu kwenye benchi la ufundi na mpaka jana kspigwa faini ya milioni 2 na kukosa michezo 3 kwa kosa la kumpiga ngumi msaidizi wa singida black star!
Kiufupi mambo hayo yamemuondoa gamond na tunamtakia Kila la kheri uko aendako!