Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.

Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.

Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani.

Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.

Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja.

Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?

Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.

Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.

PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
 
Sawa Gamondi anaiogopa simba, tumekubali. Robertinho pia alimfunga gamondi ndio maana Robert akapandishwa cheo simba. Na bila kusahau mambo yaliyofanyika nyuma ya pazia kwa sababu ili yanga ashinde lazima mambo yafanyike nyuma ya pazia ndio maana ulkula 7-2 kwenye ligi na mwaka wa 3 huu unatoka kapa kwenye kila kombe
 
Mwaka wa 3 natoka kapa? Mnaamua mchague kombe lipi la kulihesabu ila nyie mkichukua hata kikombe cha kahawa mnashangilia kama wehu.

Simba hajawahi fungwa goli 7, acheni kuwa wajinga wa kujitakia.
 
Unaandika huko hofu ya kufungwa ipo juu.. ukweli ni kwamba kesho Simba kusbinda ni swala bahati na Ndumba.
Sijaona kikosi cha kumzuia Azizi ki , Dube , Pacome wasiingie kwenye boksi na kusababisha maumivu
 
Hofu itoke wapi wakati nina kikosi cha Ultra Sound, cha kupima watu umri.

Kuingia kwenye boksi wataingia, ila kufunga aaaah.
 
Kama umri ndio kigezo cha kushinda utakuwa disapointed sana baada ya mechi... mkiingia na mentality ya mikimbio yenu ya kasi nakuambia mkidhania mnacheza na APR litawakuta kubwaaa...Kwa jicho la ufundi kile kikosi chenu cha kwanza zidi ya APR kinaweza kumpa changamoto Yanga kuliko kile kilichoingia mara ya pili
 
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.

Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.

Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.

Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?

Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.

Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.

PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
1) Kuchanganya nafasi kipindi cha pili ni kawaida sana kwa Gamondi rejea mechi ya Ts Galaxy na dhidi ya Augsburg, na ni kawaida kwa wiki ya wananchi huwa kunakuwa na timu mbili kila timu hucheza kipindi kimoja. Hata wiki ya wananchi ya msimu uliopita Gamondi alichezeaha vikosi viwili. Ni dhahiri shahiri kuwa lengo ni kutoa burudani na sio matokeo. Maana kama Gamondi angewaza matokeo basi Baca, Maxi, Azizi Ki na Dube ndio wachezaji pekee wangetangulizwa kwenye sub kuliko wengine wote.

2) naomba uje ueleze mpango upi wa nyuma wa pazi kisha uje na uthibitisho unaonesha huo mpango, usilete uongo hapa jukwaani kisa usimba wako.

3) Unauliza ngao mnaitaka unamuliza kocha au mashabiki? Kama kocha basi alishaelezea mapema kabisa kuwa focus yake ni kutetea makombe aliyotwaa ikiwemo ligi kuu na FA na kufanya vizuri michuano ya CAF kwa kuvuka hatua aliyoishia msimu uliopita.

4) Robertinho si alifukuzwa kwasababu ya huyo huyo Gamondi? Sasa hiyo nguvu ya kusema Robertinho alimfunga Gamondi unaitoa wapi?
5) hakuna shabiki wa Yanga anayeingia na hofu juu ya mchezo wa kesho kwasababu kwa anayejua mpira na aliyefuatilia mechi ya tarehe 3 na tarehe 4 unaona kabisa Yanga ni timu ila Simba bado haijawa timu ndio inajengwa kuwa timu. Ule mchezo dhidi ya Red arrows hakuna mwana Yanga ambaye ataingiwa na uoga kwasababu ilikuwa ni positive sign kwa Yanga kwa upande wa performance, kipa wa Red Arrows ndiye shujaa.

Najua matokeo ya zile mechi za Simba day na wiki ya mwananchi ndicho kitu pekee wana Simba wamelala nacho na kuona kuwa Yanga ni wepesi kwavile Simba imeshinda kiulaini na Yanga wameshinda kiugumu tena kwa mbeleko. Hiyo mentality mliyonayo inaenda kuwapa surprise mechi ya kesho, ile performance dhidi ya Red Arrows ilikuwa ni habari nyingine. Ile mechi hata ingeisha kwa Yanga kufungwa, ila performance ya Yanga ilikuwa bora sana.
 
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.

Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.

Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani. Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.

Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja. Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?

Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.

Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.

PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Kwa hali MILEMBE itaendelea kupokea wateja kila siku
 
Baada ya mechi ya August 8, Simba muwe wamoja kama mlivyo sasa hivi
 
Sikuwahi kujua vichaa walioko mtaani ni wengi kuliko wale walioko mirembe.
 
Kwa Simba ile niliyoiona mimi kama mchambuzi naona yanga waruhusiwe kuingia uwanjani wote na bench la ufundi pamoja na familia ya GSM nayo iingie kucheza ila kichapo kipo palepale
 
Kitendo alichofanya kocha wa Yanga Gamondi cha kuchanganya nafasi za wachezaji hasa kipindi cha pili katika ile mechi dhidi ya Red Arrows kwanza kilikuwa na nia ya kupunguza pressure kwa mashabiki waliokuwa wameshaanza kupagawa na matokeo ya mchezo. Lile lilifanyika ili mchezo msiuchukulie serious sana.

Pia baada ya mipango ya nyuma ya pazia kufanyika wakati wa mapumziko yaliyowahakikishia walau kupata sare, akaamua kubadili nafasi za wachezaji eti wanavyosema wachambuzi ili benchi la ufundi la Simba wasiweze kuisoma vizuri Yanga.

Mbinu za mchezo zinatofautiana kati ya mchezo na mchezo, hakuna mtu atakayeangalia jinsi mnavyocheza dhidi ya timu moja ategemee utakuja vile vile. Style ya uchezaji wa Yanga inajulikana, ni counter attacks, speed na kutumia penetration passes hadi kwenye box la mpinzani.

Walichobadili siku ile ni kujaribu sana kufunga magoli ya mbali ili kuyafunika magoli ya kina Fernandez, jambo lililoshindikana.

Makocha wa Simba bado wameweza kuona uwezo wa wachezaji mmoja mmoja wa Yanga na style zao za uchezaji. Wameiona Yanga kule Afrika Kusini ambapo katika mechi mbili dhidi ya Kaizer Chiefs na wale Wajerumani, hamu ya ushindi ilikuwa kubwa kwa hiyo ilikuwa rahisi kuwasoma wachezaji mmoja mmoja.

Bado wana hazina kubwa ya video za Yanga za msimu uliopita, ukichukulia kikosi hakijabadilika sana. Hapo unaficha nini sasa?

Tuambieni mapema, ngao mnaitaka au hamuitaki maana mkifungwa mtakuja na maneno yenu ya kuidharau wakati mlienda kushangilia airport kupokea kombe la bonanza tena la timu mbili tu.

Tunajua waliokuwa wanalilia sana kuiona live Simba ikicheza kule Misri si mashabiki wa Simba bali watu wa Yanga. Hakuna anayeenda kwa tahadhari na hofu kubwa katika mchezo huu wa kesho kama mashabiki, benchi la ufundi, viongozi na wachezaji wa Yanga. Mpaka sasa hawajui wanaenda kukutana na nini.

PS. Robertinho alimfunga Nabi akamfunga na Gamondi.
Jiandaeni kufukuza kocha, na Mgunda kuwa kocha mkuu.
 
Huwa nakuamini lakini hapa umefanya analysis ya kitoto mno.
1.Mechi ya majaribio kuingiza timu mpya kipindi cha pili inakuwaje kuficha kikosi, ni mara ya Kwanza kufanya hivyo?
2.Namna ya ufungaji magoli inakuja automatically baada ya build up, set up au rebound, inakuwaje tena iwe kuiga magoli ya timu pinzani?
3.
 
Umemaliza Kila kitu Kama ajaelewa atakuwa na matatizo binafsi, hoja zake amejenga za kitoto sana mpira sio mbio mpira una njia zake kiufundi ingekuwa ni kasi basi kina ussain bolt wangekuwa wanasajiliwa kwenye Kila timu, na magoli yanakuja kutokana na combination ya wachezaji uwanjani na sio umri aliyewaroga mbumbumbu ni Kama vile alishafariki!
 
Back
Top Bottom