Gamondi ameonyesha kuiogopa Simba

Nyuma mwiko wanatetemeka wote. Kama alivyosema Manara kuwa kwenye nguo zao za wapi zimejaa nini
 
Unavyoandika utadhan yanga tokea iundwe inachukua makombe tu.

Hebu tafakari na vipigo yanga alivyovipata toka kwa Simba.
 
Unadhani utapoteza watu maboya kwa ushauri huo wa kinafki. Hamtaki kabisa kumsikia Debora

2. Unavyopendaga kudai uthibitisho, unataka watu wawe wanaleta ushahidi wa SMS na voice notes hapa jukwaani? Embu kua basi kidogo.

3. Huwa mnadai mechi hamna mipango nayo ila mkisawazisha mbona huwa mnawahi mpira kuupeleka kati?

4. Point yangu ni kwamba Gamondi anafungika kama alivyo kocha mwingine yoyote.

Sawa... Tufanye Simba kaugundua ujanja wa yanga na kashashinda mechi.......kesho tunangoja kutimiza dk tisini tushangilie au Sio mwanangu
Sahihi kabisa mwanangu

Mda si mrefu baada ya mechi mtaanza kuyatafuta maduka.
Maduka yalishafungwa labda kama mmeanza juhudi za kufungua maduka mapya

1. Nimewaquote wachambuzi na watu mbalimbali wanaosema Gamondi ni master wa kuficha mbinu na wanatumia mfano wa mechi ile kwa jinsi alivyopanga kikosi.

2. Ukiangalia magoli aliyokuwa anajaribu kufunga Dube katika mechi nzima utaona kuna mtu, labda Ally Kamwe alimwambia ajaribu kumfunika Fernandez, matokeo yake akipata mpira anapaisha.

Kwa hiyo mnabadili gia angani, umri siyo tena kigezo cha ubora wa timu?
 
Umri ni nyongeza tu kwenye mbinu za kiufundi, naona mmekaririshwa mambo ya umri na mmeingia kwenye mfumo, ata mtibwa sugar wanasajili wachezaji wa umri mdogo na Sasa wako wapi? Mbona awabebi makombe? Rudi kule ulaya Chelsea na Barcelona walijaribu izo project vipi waliishia wapi Kama umri ndio kushinda mechi ama makombe? Na arsenal je waliishia wapi na vijana wao wadogo? Ina maana Simba mnamtaka kutuambia mmesajili wachezaji Bora wa umri mdogo kuliko Arsenal ama Chelsea? Acheni uzwazwa na kujazwa vitu ambavyo avina mantiki!
 
 
Total Matches:43

Simba wins 11 (26%)

Draw17 (40%)

Yanga wins 15 (35%
Sasa hizo takwimu ndiyo za kuambatanisha na kauli uliyotoa kuwa "Simba ndio timu iliyopigwa mara nyingi zaidi na Yanga nchini"?
 
Hofu itoke wapi wakati nina kikosi cha Ultra Sound, cha kupima watu umri.

Kuingia kwenye boksi wataingia, ila kufunga aaaah.
Twendeni Sawa Hapa..👇

Wazee FC Vs Vijana FC
1.Diarra(29yrs)
1.Ayoub(29yrs)

2.Yao(27yrs)
2.Kapombe(29yrs)

3.Boka(24yrs)
3.Zimbwe(29yrs)

4.Bacca(24yrs)
4.Karaboue(24yrs)

5.Job(23yrs)
5.Malone(25yrs)

6.Aucho(30yrs)
6.Ngoma(30yrs)
6.Mkude(30yrs)
6.Awesu(30yrs)

7.Nzengeli(24yrs)
7.Mutale(22yrs)
7.Abuya(27yrs)
7.Kibu(29yrs)

8.Muda(28yrs)
8.Debo(24yrs)😂
8.Pacome(27yrs)
8.Muzamiru(32yrs)

9.Dube(27yrs)
9.Mukwala(30yrs)
9.Baleke(23yrs)
9.Fred(25yrs)

10.Aziz Kii(28yrs)
10.Jean(22yrs)
10.Mzize(20yrs)
10.Chasambi(20yrs)

11.Chama(32yrs)
11.Balua(24yrs)

Unajipa moyo bado unaenda kupima watu umri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…