Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Mechi ijayo wanatoa droo,wataanza kutafutana na kutoleana mapovu muda si mrefu.Msize ndo nani?
kipigo Cha jana kimewachanganya!
Gamondi anaharibu kila kitu pale Yanga la sivyo kuna mgomo baridiakili ndogo mtoa bandiko
kuna mchezaji TP katoka kuwa kipa kawa mshambuliaji na anatupia balaa
KIufupi ww hujui mpira,, watu wana red card, wachezaji wanatakiwa wazunguke kucover space tu, na mashambulizi yakianza sehemu ulipo una attack huko huko, na yanga wachezaji wengi wana uwezo huoNkane kutoka winga kawa beki
Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki
Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji
Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki
Msize haeleweki anacheza namba gani
Kibwana haaminiki tena
Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
Timu VibabuNkane kutoka winga kawa beki
Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki
Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji
Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki
Msize haeleweki anacheza namba gani
Kibwana haaminiki tena
Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
Huyu mpira hajui licha ya akili kuwa ndogoakili ndogo mtoa bandiko
kuna mchezaji TP katoka kuwa kipa kawa mshambuliaji na anatupia balaa
Your husbandMsize ndo nani?
Mimi siongelei mechi ya Jana tu.KIufupi ww hujui mpira,, watu wana red card, wachezaji wanatakiwa wazunguke kucover space tu, na mashambulizi yakianza sehemu ulipo una attack huko huko, na yanga wachezaji wengi wana uwezo huo
Hasa Kwa wazawa. Uwezo uko Sawa lakini wenzao wanavuna mapesa. Issue ya Aziz na SASA Pacome. FEI aliona mbali anaemtaka SASA atatoa hela anayoitaka yeye sio kumpangia.Gamondi anaharibu kila kitu pale Yanga la sivyo kuna mgomo baridi
Tatzo sio kubadilishiwa nafasiMleta mada unamkumbuka Victor Moses akiwa Chelsea alichezeshwa kama winger back na wakati yeye asilia ni winger
Kwenye football ni kitu cha kawaida
Mcheki Mac Allister pale Liverpool anachezeshwa kama CM wakati yeye ni AM
Mashabiki oya oya kama nyie sidhani kama ni wa yanga, type za mashabiki kama hizi uwa ziko umbumbuni uko, ujui ata unachokizungumzia na Mpira wenyewe ujui unatafuta matusi tu humu ndani!Nkane kutoka winga kawa beki
Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki
Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji
Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki
Msize haeleweki anacheza namba gani
Kibwana haaminiki tena
Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
Kilaza mwenyewe ambaye hujui hata maana ya ushabikiMashabiki wa bongo ni vilaza, mtu kapoteza game Moja tena akiwa pungufu ila Leo mnajifanya mnajua kuliko yeye
Kuna mtu nilimwambia timu kama man u ingekua bongo huyo ten hag watu wangemuua uwanjani
Jadili hoja matusi pelekea mkeo pumbvMashabiki oya oya kama nyie sidhani kama ni wa yanga, type za mashabiki kama hizi uwa ziko umbumbuni uko, ujui ata unachokizungumzia na Mpira wenyewe ujui unatafuta matusi tu humu ndani!