Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Nkane kutoka winga kawa beki

Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki

Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji

Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki

Msize haeleweki anacheza namba gani

Kibwana haaminiki tena

Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
 
KIufupi ww hujui mpira,, watu wana red card, wachezaji wanatakiwa wazunguke kucover space tu, na mashambulizi yakianza sehemu ulipo una attack huko huko, na yanga wachezaji wengi wana uwezo huo
 
Timu Vibabu
 
Mleta mada unamkumbuka Victor Moses akiwa Chelsea alichezeshwa kama winger back na wakati yeye asilia ni winger

Kwenye football ni kitu cha kawaida

Mcheki Mac Allister pale Liverpool anachezeshwa kama CM wakati yeye ni AM
 
Mimi siongelei mechi ya Jana tu.
Kuanzia mechi ya kengold Hakuna mchezo tuliocheza kwa kiwango bora
Mechi zote tumebebwa na mabeki huku washambuliaji wakiendelea kuwa butu
 
Mleta mada unamkumbuka Victor Moses akiwa Chelsea alichezeshwa kama winger back na wakati yeye asilia ni winger

Kwenye football ni kitu cha kawaida

Mcheki Mac Allister pale Liverpool anachezeshwa kama CM wakati yeye ni AM
Tatzo sio kubadilishiwa nafasi
Tatzo linakuja mchezaji akishindwa kuperfom vizuri
Mfano Leo kawa beki kesho winga kesho kutwa kiungo kama anavyofanya kwa max
 
Nkane kutoka winga kawa beki

Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki

Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji

Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki

Msize haeleweki anacheza namba gani

Kibwana haaminiki tena

Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
Mashabiki oya oya kama nyie sidhani kama ni wa yanga, type za mashabiki kama hizi uwa ziko umbumbuni uko, ujui ata unachokizungumzia na Mpira wenyewe ujui unatafuta matusi tu humu ndani!
 
Jadili hoja matusi pelekea mkeo pumbv
 
Back
Top Bottom