Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Mtatukanana sana.Bado hamjasema.
Tatizo huwa munajipiga dole wenyewe alafu mnajinusa wenyewe.
Huyo mpuuzi mwenzio (Mleta post) sio mwana Yanga, ila kwakua kafarijika na kilicho tokea jana kaamua kujifariji kwa njia hiyo.
Ndio maana nikamjibu kikofu, wala sikua na nia ya kumtukana........kwanza kutukana ni dhambi.
 
Mpira hujui wewe nenda tu kashabikie rede au uendelee kupika pika. Hao mabeki kazi yao nini? Eti tumebebwa na beki. Unatia aibu bora ukae kimya tu
Na washambuliaji kazi yao ni nini?
Bila Magoli ya kina Bacca tungekuw tunatoka bila bila
 
Wewe ndio mjinga namba moja
Huyo kocha asikosolew kama nan
 
Reactions: Tui
Mpira hujui wewe nenda tu kashabikie rede au uendelee kupika pika. Hao mabeki kazi yao nini? Eti tumebebwa na beki. Unatia aibu bora ukae kimya tu
Nimegundua huyo jamaa ni katoto cha 2000s, ama la sivyo kaanza kushabikia mpira baada ya Azam kuanza kurusha matangazo ya mpira mubashara.

Kwanza huyo sio shabaki wala mwanachama wa Yanga.
 
Dube +Mzize+Musonda +Baleke= Bacca mwenye goli 2
Pacome+chama+Aziz key=0000.002
Hiyo sio ishu ndio maana inaitwa timu, pamoja na hao kutokuwa na magoli timu imeshinda michezo mingapi msimu huu kwenye mashindano yote? Timu imepoteza mchezo mmoja pekee na ndio timu inayoongoza ligi kwasasa. Je hao wenye magoli mengi wameisaidia nini timu zao hadi sasa?
 
Pamoja na Yanga kuwa pungufu lakini Azam walikutana na upinzani utafikiri wanacheza na timu isiyopungufu. Halafu mtu anaropoka eti Gamondi anaua vipaji
Unakuta huyu ni mwenyekiti wa mtaa fulani 🀣
 
Nimegundua huyo jamaa ni katoto cha 2000s, ama la sivyo kaanza kushabikia mpira baada ya Azam kuanza kurusha matangazo ya mpira mubashara.

Kwanza huyo sio shabaki wala mwanachama wa Yanga.
Anatia aibu yaani anayojibu ndio kabisa anajionesha jinsi alivyokuwa hajui mpira.
 
Kufungwa Mechi Moja tu tayari mmeshaanza kutoa milio.

Bado hamjasema,mpaka mseme mganga anayewaambia Kila siku mpite milango ya uani pale Benjamin mkapa ni nani.

Muanzisha uzi ni kilo mwenzako,Yanga wenyewe tumechukulia matokeo kimpira zaidi,kwenye soka kuna kufungwa pia hauwezi kushinda kila siku
 
Tatzo sio kubadilishiwa nafasi
Tatzo linakuja mchezaji akishindwa kuperfom vizuri
Mfano Leo kawa beki kesho winga kesho kutwa kiungo kama anavyofanya kwa max
Max alifanya vizuri walipo cheza na mamelodi alikuwa anakaba vizuri
 
Mashabiki wa bongo ni vilaza, mtu kapoteza game Moja tena akiwa pungufu ila Leo mnajifanya mnajua kuliko yeye

Kuna mtu nilimwambia timu kama man u ingekua bongo huyo ten hag watu wangemuua uwanjani
Sio mechi ya Jana tu, mlete Uzi yupo sawa nisaidie mm ambaye sijui Mpira Quality ya azizi ki aliyeifunga mamelodi ndio hii!! Quality ya Pacome aliyeifunga al ahly ndio hii ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…