Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Tatizo huwa munajipiga dole wenyewe alafu mnajinusa wenyewe.Mtatukanana sana.Bado hamjasema.
Huyo mpuuzi mwenzio (Mleta post) sio mwana Yanga, ila kwakua kafarijika na kilicho tokea jana kaamua kujifariji kwa njia hiyo.
Ndio maana nikamjibu kikofu, wala sikua na nia ya kumtukana........kwanza kutukana ni dhambi.