Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Dogo. Mbona tunashinda tu? Haya yameanza lini? Tukiwakanda Simba mnanyamaza. Tukipoteza kila kitu kibaya.nyie mmeanza ishabikia yanga kipindi cha hersi mna shida sana.
 
Jadili hoja matusi pelekea mkeo pumbv
Akuna hoja hapo ya kujadili na wewe maana ushaonyesha ni mweupe kichwani, kama unalalamikia wachezaji kucheza zaidi ya nafasi Moja uwanjani unataka tujadili hoja Gani na wewe hapo! Unaona ajabu mchezaji kucheza zaidi ya namba Moja uwanjani ujawai ona kabisa tokea uzaliwe!
 
Mashabiki wa bongo ni vilaza, mtu kapoteza game Moja tena akiwa pungufu ila Leo mnajifanya mnajua kuliko yeye

Kuna mtu nilimwambia timu kama man u ingekua bongo huyo ten hag watu wangemuua uwanjani
YAni uvumilivu zero
Hata Wana Lunyasi wametushinda uvumilivu wallah
 
Uliwahi kumuona GARETH BALE wa TOTTENHAM ileee ya akina JEREMINE DEFOR?
Umewahi kumuona GARETH BALE wa REAL MADRID?
Basi tuseme wewe ni mkongwe.
Je,umwahi kumuona Di Kyite wa Liverpool na yule wa wa timu ya taifa ya Netherlands?
 
Hueleweki
 
Uliwahi kumuona GARETH BALE wa TOTTENHAM ileee ya akina JEREMINE DEFOR?
Umewahi kumuona GARETH BALE wa REAL MADRID?
Basi tuseme wewe ni mkongwe.
Je,umwahi kumuona Di Kyite wa Liverpool na yule wa wa timu ya taifa ya Netherlands?
Unamfananisha bale na hawa kina mwamnyeto
 
Sio mechi ya Jana tu, mlete Uzi yupo sawa nisaidie mm ambaye sijui Mpira Quality ya azizi ki aliyeifunga mamelodi ndio hii!! Quality ya Pacome aliyeifunga al ahly ndio hii ?
Wewe na mleta uzi wote akili zenu zinafanana. Aziz Ki na Pacome wali shine Yanga wakiwa na kocha yupi zaidi ya Gamondi? Kama Gamondi ni wa kuua vipaji basi wasinge shine hao wachezaji lakini hao wote wame shine wakiwa chini ya Gamondi kwanini leo hii lawama ziwe kwa Gamondi? Kwanini hamkuangalia factor nyingine kama vile ugumu wa ligi kuu, uchovu wa wachezaji (fitness) n.k
 
Hujui mpira wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…