Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dogo. Mbona tunashinda tu? Haya yameanza lini? Tukiwakanda Simba mnanyamaza. Tukipoteza kila kitu kibaya.nyie mmeanza ishabikia yanga kipindi cha hersi mna shida sana.Nkane kutoka winga kawa beki
Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki
Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji
Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki
Msize haeleweki anacheza namba gani
Kibwana haaminiki tena
Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi