Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Gamondi anaharibu viwango vya wachezaji

Siyo kila kitu ushirikina jombaah!, kama mpira ni ushirkina kama unavyofikiri ww basi Nigeria wange chukua kombe la Dunia
 
Kufungwa Mechi Moja tu tayari mmeshaanza kutoa milio.

Bado hamjasema,mpaka mseme mganga anayewaambia Kila siku mpite milango ya uani pale Benjamin mkapa ni nani.
Ukisikia shabiki wa Yanga analaumu wachezaji achana na jitu la hivyo! Hakuna kiwango kilichoshuka. Hivi aliona Nkane alivyocheza hiyo beki?
 
Mashabiki oya oya kama nyie sidhani kama ni wa yanga, type za mashabiki kama hizi uwa ziko umbumbuni uko, ujui ata unachokizungumzia na Mpira wenyewe ujui unatafuta matusi tu humu ndani!
Ubaya wa hii mitandao bwana ni kuruhusu kila jitu kuropoka linavyoweza! Hata mataahira nayo wanaandika humu! Mechi ya jana haina cha kuwalaumu wachezaji!
 
Nkane kutoka winga kawa beki

Aziz andambwile kutoka kuwa kiungo kawa beki

Max nzengeli kawa kama kiungo mkabaji

Duke abuya kutoka eneo la kiungo kawa beki

Msize haeleweki anacheza namba gani

Kibwana haaminiki tena



Hapo kuna wachezaji viwango vime_drop
Kina Aziz key, PACOME, musonda, yao yao na wengne wengi
img_1_1730596676293_1.jpg
 
Gamondi anaharibu kila kitu pale Yanga la sivyo kuna mgomo baridi
Natamani nikuite choko, lakini nafsi yangu inaniambia wenda ukawa ni mama mjamzito hivyo nitakua nimekuvunjia sana heshima.
Ila kiufupi haujui mpira.
 
Garasa kama dube sijui linafanya nini pale yanga?

Mechi:9
Magoli:0
Asisti:0

Kama vipi tuandamane mashabiki wa yanga.
 
KIufupi ww hujui mpira,, watu wana red card, wachezaji wanatakiwa wazunguke kucover space tu, na mashambulizi yakianza sehemu ulipo una attack huko huko, na yanga wachezaji wengi wana uwezo huo
Pamoja na Yanga kuwa pungufu lakini Azam walikutana na upinzani utafikiri wanacheza na timu isiyopungufu. Halafu mtu anaropoka eti Gamondi anaua vipaji
 
Garasa kama dube sijui linafanya nini pale yanga?

Mechi:9
Magoli:0
Asisti:0

Kama vipi tuandamane mashabiki wa yanga.
Sio dube tu Yanga washambuliaji wake wote wameshuka viwango kutokana na mifumo duni ya Gamond
 
Hapa sikupingi🤣🤣🤣
Mashabiki wa bongo ni vilaza, mtu kapoteza game Moja tena akiwa pungufu ila Leo mnajifanya mnajua kuliko yeye

Kuna mtu nilimwambia timu kama man u ingekua bongo huyo ten hag watu wangemuua uwanjani
 
Mimi siongelei mechi ya Jana tu.
Kuanzia mechi ya kengold Hakuna mchezo tuliocheza kwa kiwango bora
Mechi zote tumebebwa na mabeki huku washambuliaji wakiendelea kuwa butu
Mpira hujui wewe nenda tu kashabikie rede au uendelee kupika pika. Hao mabeki kazi yao nini? Eti tumebebwa na beki. Unatia aibu bora ukae kimya tu
 
Tatzo sio kubadilishiwa nafasi
Tatzo linakuja mchezaji akishindwa kuperfom vizuri
Mfano Leo kawa beki kesho winga kesho kutwa kiungo kama anavyofanya kwa max
Mpira wa kisasa mchezaji anakuwa na uwezo wa kucheza nafasi zaidi ya moja. Ukocha ni mbinu sio kukariri tu mchezaji fulani anachezaga namba ngapi bali ni kutengeneza mbinu. Gamondi ni mchezaji anayetumia mbinu na ufundi na ndio maana unaona mchezaji anapewa jukumu fulani kulingana na mechi husika. Acha ukariri
 
Pamoja na Yanga kuwa pungufu lakini Azam walikutana na upinzani utafikiri wanacheza na timu isiyopungufu. Halafu mtu anaropoka eti Gamondi anaua vipaji
Dube +Mzize+Musonda +Baleke= Bacca mwenye goli 2
Pacome+chama+Aziz key=0000.002
 
Back
Top Bottom