Hakuna timu duniani isiyonpoteza
Real Madrid yenyewe ndo wababe wa dunia wamepoteza juzi,mpira kuna kushinda
Kufungwa
Kutoka droo
Usimpe lawama kocha mbona akishinda humpi lawama??hata kama ni wewe kocha bacca anakadi nyekundu,dickson ana njano 3,beki aliyebaki kaumia kipindi cha kwanza ebu niambie ungefanyaje na hapo umetoka kucheza mechi ngumu kama ya simba,coastal,singida na azam wachezaji wanamchoko wa haja mda mwingine muwe mnafikiria