Gamondi anahujumu timu ya Yanga

Gamondi anahujumu timu ya Yanga

Kesho mbali 😂
Hawa hawana vifua kama simba. Misimu mitatu mfululizo Tena na vipigo juu kutoka kwa uto lakini tumesimama imara,wao mechi ya pili hii tayari wanaanza kushikana uchawi.

20240917_202056.jpg
Lete mafutamengine,halitaki kuwaka!!
 
Ana wachezaji wazuri anashindwa kuwatumia..combination ya Sub zake hajui nani na nani wacheze na nani atoke..
Gamondi hajafika Leo,kachukua ubingwa mara 3 mfululizo,yanga kuba shida ktk uongozi,mwanzoni tulishauli wale WOTE waliomsaidia kupata ubingwa injinia asiwaache,timu ya ushindi huwa haibadilishwi.
 
Hapo sio Gamond peke yake hata wachezaji wanacheza kitozi...Gamond kosa lake ni matumizi ya aina moja ya uchezaji..nakutojua namna ya kuwachezesha wachezaji..kwa upande wa wachezaji wamepungukiwa ubunifu uwanjani...
 
Nyukaneni sisi kwetu ndo raha...😃😃😃
 
Yanga imepoteza mechi haija poteza Ubingwa, Wachezaji na Bench la ufundi wamefanya jitihada zote na Matokeo hayakua upande wetu.
Ndivyo mpira ulivyo, hatuhutaji kutafuta mchawi Wala malalamiko ya kuhamia Burundi.

Hii international break itakua faida kubwa kwa Yanga.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1683832807.jpeg
 
Mmmmmmm omba nafasi kocha Yanga upange vizuri hizo sub
Akihitaji tubadilishane sawa tu mkuu yeye aje kusimamia ununuzi wa magari madogo na makubwa yanayoletwa huko kutokea hapa Johannesburg akifanya kwa usahihi hasa kwa Scania G 460 hizi ntachukua hiyo nafasi..
 
Akihitaji tubadilishane sawa tu mkuu yeye aje kusimamia ununuzi wa magari madogo na makubwa yanayoletwa huko kutokea hapa Johannesburg akifanya kwa usahihi hasa kwa Scania G 460 hizi ntachukua hiyo nafasi..
Mtafute mkuu utusaidie kupanga team
 
Mnataka msifungwe nyie kina nani au mganga wenu ndiye aliyewadanganya hivyo?.Nyeeee nyeeee wifuuu.
 
Back
Top Bottom