Gamondi anajiamini nini kutamka maneno haya?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.

Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
 
Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa.
Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
Kucheza nao hao giants ni kitu Cha kawaida tu,kushinda inabaki ni jambo lingine
 
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.
Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa.
Kifupi Gamondi anasema waleteeee
 
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.

Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
Talking is cheap. Sisi tuna itunza mvua zikianza kunyesha tutajua wapi panavuja tutaanzia hapo hapo kuwabomoa
 
Robartinho ameshatumia kauli hii akiwa tena juzi tu akiwa pre-season turkey! Kwa mm sioni kama ni tatizo kuyatumia maneno hayo kwa sababu kwa kusema hivyo haimaanishi anaweza kuwafunga madridi au baselona ila anamaaanisha anaweza kucheza na timu yoyote bila kujali matokeo yatakuaje
 
Kumbuka yeye ndio mtu wa kwanza kujenga CONFIDENCE ya wachezaji, na kujenga imani ya timu kwa mashabiki wake…!!! Imagine kauli ya mwalimu anaposema “WANAFUNZI WANGU UKIWAPA MTIHANI HAWAWEZI KUFAULU KABISA”, wazazi mtamuelewaje na ada mmeshalipa…!!

Kwahyo Gamondi YUPO SAHIHI KABISA, kwa sababu ni lazima uoneshe POSITIVENESS katika kauli zako na matendo yko
 
👍👍👍👍👍
 
Ni mambo ambayo kwasasa hatujazoea ila kipindi cha nyuma ilikua kawaida timu kubwa za ulaya na brazili kuja hapa Tanzania au Afrika zikacheza kama ilivyo sasa zinavyo kwenda kucheza Marekani au Asia.

Mfano Mwaka 1973 timu ya Taifa ya Brazil chini ya miaka 23 ilifanya ziara barani Asia na Afrika ili shinda michezo yake yote Asia,Apa Afrika mashariki na kati ili ifunga timu ya Taifa ya sudani na kutoka sare na timu ya taifa ya Uganda.

Ilipo kuja apa Tanzania ilifungwa na Yanga goli 3-1. Wabrazili hao walishangaa sana kufungwa apa Tanzania.

Mwaka uo uo 1973 Aston villa ikiwa moja ya Timu kubwa barani Ulaya ilikuja Tanzania na walicheza na Yanga Matokeo yali isha kwa 1-1 uku wageni wakisawazisha.

Miaka ya 2011 klabu moja Ya Brazil Atletico Paranaense walicheza na Yanga pale Taifa na matokeo yali isha kwa 3-2 Yanga ikipoteza.

Kwasasa ingekua kuna mwendelezo wa timu za ulaya kuja Afrika kama zamani tungeweza kujionea anayo yasema Gamondi.

Kuna mwaka hivi karibuni Simba ilicheza na Sevila ya Spain na Simba ilipoteza pale Taifa.

Everton waliwahi kushiriki mashindano ya Sportpesa pale Kenya na kufungwa kwa mikwaju ya Penalty na Goal Mahia ya akina Kagere. kwa zamani haikua ajabu timu izo kuja Afrika.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.

Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee
 
Kumbuka yeye ndio mtu wa kwanza kujenga CONFIDENCE ya wachezaji, na kujenga imani ya timu kwa mashabiki wake…!!! Imagine kauli ya mwalimu anaposema “WANAFUNZI WANGU UKIWAPA MTIHANI HAWAWEZI KUFAULU KABISA”, wazazi mtamuelewaje na ada mmeshalipa…!!

Kwahyo Gamondi YUPO SAHIHI KABISA, kwa sababu ni lazima uoneshe POSITIVENESS katika kauli zako na matendo yko
Kuonyesha POSITIVENESS kwenye kauli zako bila kumheshim mpinzani wako.... Kauli sahihi ila sio katika sehemu sahihi.
 
Robartinho ameshatumia kauli hii akiwa tena juzi tu akiwa pre-season turkey! Kwa mm sioni kama ni tatizo kuyatumia maneno hayo kwa sababu kwa kusema hivyo haimaanishi anaweza kuwafunga madridi au baselona ila anamaaanisha anaweza kucheza na timu yoyote bila kujali matokeo yatakuaje
Preseason.... Kauli sahihi kwenye mazingira sahihi.
 
Ko akisema robatinho inahalalishwa iwe sahihi akiitumia kocha mwingine mnasema kauli zake zitamponza!…anyway hizi kauli tukizikitafsiriwa kishabiki ndo matokeo yake haya unaanza kuihararisha na kuiharamisha kwa kigezo cha mazingira.
 
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.

Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee [emoji91][emoji91][emoji91]
hajasema hivyo bro,alikuwa anajibu swali la mwandishi aliyemuuliza gamondi are scared? ndipo akamjibu scared? i am scared by God only not by football,this is footbal,my team can play with any team without being scared
 
Back
Top Bottom