Gamondi anajiamini nini kutamka maneno haya?

Gamondi anajiamini nini kutamka maneno haya?

Ni kuwajenga ki saikolojia wachezaji Hata Yule kocha wa Morocco alisema hivyo Kwenye world cup
 
Ko akisema robatinho inahalalishwa iwe sahihi akiitumia kocha mwingine mnasema kauli zake zitamponza!…anyway hizi kauli tukizikitafsiriwa kishabiki ndo matokeo yake haya unaanza kuihararisha na kuiharamisha kwa kigezo cha mazingira.
Hutaki endelea kukaza fuvu maana hujaelewa nilicho andika...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu bora umenistua hawa kenge wamepasuliwa na ihefu jana nipo naangalia fixture yao alooo watakandwa na geita gold, azam watapata draw watakandwa na simba kenge hawa
 
Nimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.

Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
Tutaanza usiku
 
Kumbuka yeye ndio mtu wa kwanza kujenga CONFIDENCE ya wachezaji, na kujenga imani ya timu kwa mashabiki wake…!!! Imagine kauli ya mwalimu anaposema “WANAFUNZI WANGU UKIWAPA MTIHANI HAWAWEZI KUFAULU KABISA”, wazazi mtamuelewaje na ada mmeshalipa…!!

Kwahyo Gamondi YUPO SAHIHI KABISA, kwa sababu ni lazima uoneshe POSITIVENESS katika kauli zako na matendo yko
Una lolote la kusema baada ya kipigo dhidi ya ihefu
 
Back
Top Bottom