Ujasiri muhimuNgoja siku tupigwe za uso haya maneno ndio atajua watu waliya tunza.
Sio sawa kuwa arrogant ingawa saa zingine waandish kibongo wana kera kias kwamba majibu ya shit kama hiv ndio dawa yao
Hutaki endelea kukaza fuvu maana hujaelewa nilicho andika...Ko akisema robatinho inahalalishwa iwe sahihi akiitumia kocha mwingine mnasema kauli zake zitamponza!…anyway hizi kauli tukizikitafsiriwa kishabiki ndo matokeo yake haya unaanza kuihararisha na kuiharamisha kwa kigezo cha mazingira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka aseme kuwa watagoma kucheza nao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Talking is cheap. Sisi tuna itunza mvua zikianza kunyesha tutajua wapi panavuja tutaanzia hapo hapo kuwabomoa
Mkuu bora umenistua hawa kenge wamepasuliwa na ihefu jana nipo naangalia fixture yao alooo watakandwa na geita gold, azam watapata draw watakandwa na simba kenge hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tutaanza usikuNimemuona jana kwenye press akisema haogopi timu yoyote anaamini wachezaji wake wanaweza cheza hata na Barcelona au real Madrid.
Kuna mwandishi alitaka kumtisha na majina makubwa ya timu za Africa. Kifupi Gamondi anasema waleteeee 🔥🔥🔥
Una lolote la kusema baada ya kipigo dhidi ya ihefuKumbuka yeye ndio mtu wa kwanza kujenga CONFIDENCE ya wachezaji, na kujenga imani ya timu kwa mashabiki wake…!!! Imagine kauli ya mwalimu anaposema “WANAFUNZI WANGU UKIWAPA MTIHANI HAWAWEZI KUFAULU KABISA”, wazazi mtamuelewaje na ada mmeshalipa…!!
Kwahyo Gamondi YUPO SAHIHI KABISA, kwa sababu ni lazima uoneshe POSITIVENESS katika kauli zako na matendo yko