Tetesi: Gamondi atishia kuitisha Press kabla hajaondoka,kusema yale yasiyojulikana,nchi itatikisika

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema.

Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana.

GSM fanyeni mnaloweza kumzuia huyu asiropoke,nchi inaweza kuzizima.
 
Changamoto husababisha watu waamshe ubongo, aliamshe dude tutakabiliana na changamoto, huwezi kuzikimbia changamoto
 
Jiesemu ilivyojaa magangster, atajikuta yupo kwao asijue kafikaje.

kuna kiumbe anajulikana kama scarface, huyo ana genge la maharamia wa kweli sio kama wale vimbaumbau vilivyoshindwa kumbemba Lyimo.

Amuulize Bashite, na ugangwe wake wote aliitoleshwa machozi na Jiesemu.
 
Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema.

Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana.

GSM fanyeni mnaloweza kumzuia huyu asiropoke,nchi inaweza kuzizima.
Hutaki ikazizina tunahitaji kuwapa sababu ya kukesha pale msimbazi
 
Jiesemu ilivyojaa magangster, atajikuta yupo kwao asijue kafikaje.

kuna kiumbe anajulikana kama scarface, huyo ana genge la maharamia wa kweli sio kama wale vimbaumbau vilivyoshindwa kumbemba Lyimo.

Amuulize Bashite, na ugangwe wake wote aliitoleshwa machozi na Jiesemu.
Uko sahihi,atalipia ukumbi ila hataweza kuongea
 
Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema.

Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana.

GSM fanyeni mnaloweza kumzuia huyu asiropoke,nchi inaweza kuzizima.
Utoto raha sana
 
Jiesemu ilivyojaa magangster, atajikuta yupo kwao asijue kafikaje.

kuna kiumbe anajulikana kama scarface, huyo ana genge la maharamia wa kweli sio kama wale vimbaumbau vilivyoshindwa kumbemba Lyimo.

Amuulize Bashite, na ugangwe wake wote aliitoleshwa machozi na Jiesemu.
Haya majina ya Scar kuhusishwa na vurugu sijafurahiswa.

Wakati mi nipo social sina mbanga hizo.
 
Ubaya ubwela,kama mbwai mbwai tu,ukimwaga mbiga namwaga ugali, ndivyo unavyoweza kusema.

Kocha wa dunia Miguel Gamondi ametishia kuitisha press na kusema yale yasiyojulikana.

GSM fanyeni mnaloweza kumzuia huyu asiropoke,nchi inaweza kuzizima.
Mwambieni asithubutu kwani badala ya kufika Kwao Argentina akiwa mzima anaweza kujikuta anaishia Makaburi ya Kinondoni.
 
Ajira portal bado hawaja update mfumo wao.

Nimetoka kuangalia updates za ajira sijaona ya ukocha wakati wote tunajua Jangwani nafasi ipo wazi.

Mambo ya kujuana na kasumba ya connection ndivyo vinapelekea wapatikane hawa makocha ambao wanakuwa fired kiholela.
Page inaitwa Ajira Zetu unategemea nini? Ni zakwao kweli
 
Uzuri teknologia imekua anaweza akaenda hata kwao chumbani na mkewe akafanya kikao na waandishi wakiwa bongo
 
Back
Top Bottom