Huyu jamaa yupo na timu ya taifa kwa ajili ya mashindano ya kutafuta bingwa wa Afrika, kulikoni aitwe zenji tena kwa kombe la mapinduzi πPacome Zouzoua
Weka link hapa we Uto tuone alivyokataaalikataa kwenda national team
Na ikiwa ni privacy imekuwaje wewe utangaze mara mbili kwa kusemaIle ni privacy mkuu
Tatizo vijana wa siku hizi wameharibika sana kutokana na utandawazi. Yaani wanachukulia mambo mazito kwa wepesi wepesi tu.[emoji1][emoji1]mkuu naona umeshindwa kuvumilia
Mwanamke mbabe sana wewe!! πJibu swali...
Huwa natania tuu mtani wangu...Mwanamke mbabe sana wewe!! π
Hivi hujawajua Tu. Unapoteza muda wako bure. Hajaitwa kwenye timu ya Taifa. Haiwezi kuwepo hata benchi.T
Na ikiwa ni privacy imekuwaje wewe utangaze mara mbili kwa kusema
1. Yanga inaongoza kutoa wachezaji wengi wanaowakilisha nchi zao katika kombe la Afrika (uliweka orodha Pacome akiwemo)
2. Leo baada ya kubanwa hapa unasema pacome alikataa alipoitwa kujiunga na timu ya taifa ππ
Ikiwa hilo jambo ni privacy na huna link yake wewe umelijuaje hadi utangaze hapa kuwa alikataa?
We ungesema tu kuwa alipigwa panga na kocha wa timu ya taifa mbona tungekuelewa tu π
Dunia hii hakuna privacy kwa jambo kama hilo la Pacome, huyo njemba alitemwa timu ya taifa hata shemeji yako analijua hilo na ndo maana kafunga domo lake.
.
Nawajua mkuu πHivi hujawajua Tu. Unapoteza muda wako bure. Hajaitwa kwenye timu ya Taifa. Haiwezi kuwepo hata benchi.