Gamondi awaita nyota wa kikosi Cha kwanza Zanzibar

Gamondi awaita nyota wa kikosi Cha kwanza Zanzibar

Kocha Mkuu wa Young Africans Sports Club , Miguel Gamondi ameamua kuwaita nyota wake wa kikosi cha kwanza aliokuwa amewapa mapumziko mafupi akiwamo Khalid Aucho, Pacome Zouzoua na Yao Kouassi ili kuongeza nguvu katika Kikosi Kuelekea mchezo wa mtoano wa Mapinduzi cup.
Kikowapi!
 
Gamondi Hana msimamo kabisa wale vijana walicheza vizuri sana. Waachwe wacheze na APR vijana wapewe nafasi.
 
Huyu Pacome si mlidai yuko timu ya taifa au nilisikia vibaya? Anyway aende akajiunge na timu ya Taifa Jang'ombe iko hapo hapo zanzibar...
alikataa kwenda national team
 
Back
Top Bottom