Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

Hata darasani tuliwahi kusoma na vilaza wa hivi kila swali darasani likiulizwa ananyoosha mkono anajibu lakini kwenye paper ukichungulia unakuta lime score 50% unabaki kuzubaa hili zuzu hua linajibu nin darasani na kwenye paper hua linajibu nin..
 
Smart goal setting requires strategies to archive your goals, the main goal for yanga SC, was to score 3 points in every match not to satisfy your mind set
 
Sio mkosi mkuu jamaa uwezo wa kufikiri ni mdogo mno sasa anajificha kwenye kuchanganya lugha ili watu wampe attention zao..
Huyo ana chuki kali sana na Gamondi, akiangalia mpira anachotafuta ni kasoro ili aje alete hapa watu wajae kwa kumsapoti ili Yanga ivurugane. Nimepitia nyuzi zake nyingi na zote anatoa suggestion Gamondi atimuliwe. Halafu anazotoa ni kama mpira kaujulia ukubwani
 
Huyu ni mwasi kitoko, Bora hata ametandikwa ban.
 
Dah
 
Kenge kweli huyu.
 
Mtabiri tambi tambi vipi Yanga kachukua ubingwa au hajachukua?
 
What light u have seen mhishimiwa,,ndo tushachukua uko ubingwa na Gamondi wetu๐Ÿ˜Œ๐Ÿงก๐Ÿ’š๐Ÿ’›
 
Umekutana na mwiko huko nyuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ