Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light


Hii takataka ndio naiona leo cjui nani kafukua kaburi la mgonjwa wa ebola
 
HALAFU WATU WA AINA HII HATA HUKO KWENYE VIKAO VYA KAZINI KWAO HUWA WACHANGIAJI SANA WA MADA, YAANI HATA MADA AMBAYO HANA UTAALAMU NAYO HUWA ANANYOOSHA MKONO.

Na ni wajanja balaa, wanachanganya na kiingereza ili kuwateka kabisa muamini hoja zake

NA MSIPOKUWA MAKINI MNAMUAMINI HALAFU MNASHITUKA BAADAE KUWA NI PUNGUANI TU
 
Mnataka kuhamisha mjadala wa Chama kwenda Yanga eeh?
Mko mnajiliwaza na habari zisizo na mashiko.
Endeleeni kujiliwaza ila.msimu ujao.mnakula kumi yaani 10.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Kwamba saivi ndio tumeshtuka mwamba punguani baada ya alichokiongea kufeli?
 
 
Kiko wapi na mwakani bado yupo msimu ujao mtakoma mpira wa sasa ukizembea tuuu unaweza kaa hata miaka kumi bila ubingwa hata uwe mkongwe kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ