Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa.
Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi Complex huku Yanga akiwa ndiye mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 12:00 jioni.
Soma, Pia:
Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi Complex huku Yanga akiwa ndiye mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 12:00 jioni.