Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
mtego huo...Azam akija wima wima ni dhahamaKocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa.
Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi Complex huku Yanga akiwa ndiye mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa majira ya saa 12:00 jioni.
Soma, Pia:
Ndiyo sababu timu zote zinamfunga huyo.Kazoea vya kunyonga huyo
Mkuu Mshana una Heshima yako humu JF, yanga hatujazoea vya kunyongaKazoea vya kunyonga huyo
Umepandisha shetani mkuu!!?..waambie wazigua wayashusheKazoea vya kunyonga huyo