Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Gamondi history

Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu.

In short

wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka

😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume? Mbona una asili ya kupenda umbea, udaku, ufitinishaji, na kuangaika sana na Gamondi? Hizo ni tabia za watoto wa kike kutaka kugombanisha ndoa za watu ili waolewe wao. Umeanzisha uzi hata video ikionesha kuna kugombana hauna, huo si ndio umbea wenyewe wa kike?
 
ningekupiga makofi ingekuwa near me.

mtu mzima unawaza ushoga ushoga. ningekupiga vibaya mno.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Iu8Sb0KAxa8&pp=ygUGbTE1IHR2
 
ningekupiga makofi ingekuwa near me.

mtu mzima unawaza ushoga ushoga. ningekupiga vibaya mno.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Iu8Sb0KAxa8&pp=ygUGbTE1IHR2

Wewe ndio unaonesha ushoga wa wazi wazi na bila shaka unahamu na Gamondi ndio maana hauchoki kumfuata fuata kwa kuanzisha kila nyuzi juu yake. Sasa hiyo video inaonesha wakigombana? Je umepata jibu kwanini waligombana? Kuna binadamu anayeishi bila kugombana? Kugombana ni swala la kawaida ila kikubwa ni ipi ni sababu ya kugombana. Ifikie hatua ukue kiakili, huyo kasema tu kuwa maamuzi ya kutoongezewa mkataba yameshinikizwa na kocha mkuu. Je ulipata kujue sababu za msingi za kocha? Je unajua maana ya team? Team ni umoja na ushikiriano kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake ili kufikia lengo. Sasa kama kuna upande mmoja haujawa sawa hakutakuwa na u team hapo.
 
ningekupiga makofi ingekuwa near me.

mtu mzima unawaza ushoga ushoga. ningekupiga vibaya mno.

View: https://m.youtube.com/watch?v=Iu8Sb0KAxa8&pp=ygUGbTE1IHR2

Akili za huyo mtangazi ni kama zako tu inawezekana huyo mtangazaji ndio wewe. Yaani mtu kakataa kuelezea kiundani anakomalia swali hilo hilo kwanini Gamondi...... kwanini Gamondi..... Halafu anakuja kumuuliza eti what kind of person is Miguel. Mtangazaji ni mpumbavu kama mwenzie mleta uzi alivyo mpumbavu wa kumfuata fuata Gamondi.
 
Wewe ndio unaonesha ushoga wa wazi wazi na bila shaka unahamu na Gamondi ndio maana hauchoki kumfuata fuata kwa kuanzisha kila nyuzi juu yake. Sasa hiyo video umepata jibu kwanini waligombana? Kuna binadamu anayeishi bila kugombana? Kugombana ni swala la kawaida ila kikubwa ni ipi ni sababu ya kugombana. Ifikie hatua ukue kiakili, huyo kasema tu kuwa maamuzi ya kutoongezewa mkataba yameshinikizwa na kocha mkuu. Je ulipata kujue sababu za msingi za kocha? Je unajua maana ya team? Team ni umoja na ushikiriano kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake ili kufikia lengo. Sasa kama kuna upande mmoja haujawa sawa hakutakuwa na u team hapo.
mimi na vita yangu na gamondi personal.
wewe akili yako imejaa ushoga.

1. issue ni wamegombana 😂😂. gamondi aamie simba. apendi kuleta amani yanga.

2. reason watu walichelewa kupona. na gamondi aliwaitaji in quarter final. that could be the cause.
 
Akili za huyo mtangazi ni kama zako tu inawezekana huyo mtangazaji ndio wewe. Yaani mtu kakataa kuelezea kiundani anakomalia swali hilo hilo kwanini Gamondi...... kwanini Gamondi..... Halafu anakuja kumuuliza eti what kind of person is Miguel. Mtangazaji ni mpumbavu kama mwenzie mleta uzi alivyo mpumbavu wa kumfuata fuata Gamondi.

. gamondi kazingua sana. apendi amani, kocha gani huyu. yanga wana shida gani, huyu bonge la physio.
 
mimi na vita yangu na gamondi personal.
wewe akili yako imejaa ushoga.

1. issue ni wamegombana 😂😂. gamondi aamie simba. apendi kuleta amani yanga.

2. reason watu walichelewa kupona. na gamondi aliwaitaji in quarter final. that could be the cause.
Kasikilize vizuri hiyo video, huyo Yusuf hakuhusika na matibabu ya akina Pacome hivyo haiwezi kuwa ni sababu wakati siye aliyehusika. Akili huwa unazipelekaga wapi?
 
Safi. Hivyo ndivyo inavyotakiwa, Kocha lazima uwe mkali ili wachezaji wazingatie nidhamu na timu ipate matokeo. Kuchekeana chekeana ndiyo yale ya Robertinho kula 5 huku Chama akiingia mazoezini muda anaotaka😀
 
yu
gamondi history

kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality. anataka vitu vyake viende atakavyo. in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu.

in short

wamegombana na yusuph na yusuph anaondoka

😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
yusuph ndo nani,manji au wa bakhresa?
 
mimi na vita yangu na gamondi personal.
wewe akili yako imejaa ushoga.

1. issue ni wamegombana 😂😂. gamondi aamie simba. apendi kuleta amani yanga.

2. reason watu walichelewa kupona. na gamondi aliwaitaji in quarter final. that could be the cause.
gamondi yupo yanga Mpaka 2026
 
Back
Top Bottom