Wewe ndio unaonesha ushoga wa wazi wazi na bila shaka unahamu na Gamondi ndio maana hauchoki kumfuata fuata kwa kuanzisha kila nyuzi juu yake. Sasa hiyo video inaonesha wakigombana? Je umepata jibu kwanini waligombana? Kuna binadamu anayeishi bila kugombana? Kugombana ni swala la kawaida ila kikubwa ni ipi ni sababu ya kugombana. Ifikie hatua ukue kiakili, huyo kasema tu kuwa maamuzi ya kutoongezewa mkataba yameshinikizwa na kocha mkuu. Je ulipata kujue sababu za msingi za kocha? Je unajua maana ya team? Team ni umoja na ushikiriano kwa kila mmoja kutekeleza majukumu yake ili kufikia lengo. Sasa kama kuna upande mmoja haujawa sawa hakutakuwa na u team hapo.