Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Gamondi ameliambia Mwanaspoti kuwa Yanga iko tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi na watawapa sapraizi nyingine baada ya baadhi ya mastaa wake afya zao kutengamaa haswa Aucho na Pacome.
Gamondi alithibitisha kikosi chake kitakuwa na mabadiliko baadhi baada ya viungo wake Aucho na Pacome kuanza mazoezi huku wasiwasi mdogo ukisalia kwa beki wake Yao Attohoula ingawa yuko nae Sauzi.
"Tumeondoka na kikosi kamili ambacho tunaona kipo tayari kwa ajili ya mchezo huo tunawaheshimu Mamelodi lakini kitu kinachotuvutia ni kwamba familia yetu imekamilika sawasawa,'alisema Gamondi ambaye aliwapa kazi ngumu Mamelodi kwenye mchezo wa kwanza.
'Tunaweza kuwa na kikosi chenye mabadiliko ni sisi tutaamua tucheze vipi na tuanze na nani kwani wale waliocheza mechi iliyopita wakd sawasawa lakini pia wale ambao walikuwa na shida ya afya baadhi wamekaa sawasawa
"Aucho (Khalid) yuko kwenye nafasi kubwa ya kucheza kuliko wenzake naweza kusema asilimia themanini, Pacome naye amerejea anafuatia nyuma ya Aucho kuhusu Yao amekuja lakini tutaamua hukohuko cha kufanya,' alisema Gamondi ambaye Wasauzi hao wanamhofia kwani aliwahi kuwa Kocha wao na anawaelewa vizuri nje ndani.
UPDATE ZA LEO