Gamondi, Nabi hawana uwezo ila tunaojua soka la bongo tunajua nguvu za giza zinavyotumika kuwafanya waonekane bora

Huo ni mtazamo wako tu .....ila uhalisia ni kuwa mkubwa ni mkubwa na ana mbinu nyiiingi za kutoboa
 
Acha mambo yako mwana kolo/🦁 sitaki kuamini hata kule mwituni kolo 🦁 anatumia nguvu za giza,ila kolo nyie hata uwanjani mnajaribu kutumia nguvu za giza,sana ujue na ujue na uamini wananchi tunaamini katika uwepo,nguvu na uwezo wa Mungu pekee na sio nguvu za giza🤔.
 
Mkuu tunawasubiri klabu bingwa[emoji1787][emoji1787]wakienda hata makundi tu niiteni mbwaa.
Mimi naanza kukuita mbwa, na nitalifukuwa hili kaburi.

Mwenzenu Mhasibu uchwara hana hamu na Yanga.
 
Kwenye football kuna bahati pia. Kuna timu ulaya wa msimu hua wana vikosi vikali sana lkn suala la kubeba ubingwa wa ligi yao na ligi ya mabingwa hua ni suala jingine. Mfano PSG last season walikua na kikosi kikali sana lkn waliishia wapi.

Kwa case ya yanga Afrika naweza kukubali, pale kuna nyota. Ni rahisi mchezaji mbivu kung'ara na kuimbwa lkn mchezaji mzuri aliepo azam asionekani wala kung'ara. Hii haitokani na ushirikina wala nguvu za giza, ni Football magic.
 
Ni kweli mkuu hata nabi kipindi anafundisha yanga viongozi walimwambia hii team haishindi kwasababu yake hivyo upunguze mapepe la sivyo tutakula kichwa nabi tokea hapo akaanza mipango ya kuondoka na viongozi wenzake wote waliokuwepo yanga ndio maana hakuna aliyebaki kama management inawaita inawaambia team haishindi kwasababu yenu hapo inakuwa haupo huru na confidence inashuka jamaa wakaamua wasepe.
 
Sasa umekuwa mwehu kamili.
 
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…