mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Kama mashabiki wa Yanga sc tutaendelea kumfumbia macho huyu kocha, tutajikuta tunaupoteza ubingwa katika mazingira ya kijinga sana. Niwakati wa wanayanga kupaza sauti zetu kuashiria kutilia shaka maamuzi yake.
Hivi inaingiaje akilini Pacome zouzou anaumia wewe unamuweka Guede? How come? halafu unaforce mzize akacheze pembeni, yaan unafaridi Mussa, shekhan, okrah, wote hao wanaweza kuzima hiyo nafasi vizuri wewe unamuweka Guede hapana huyu jamaa hana akili.
Unamtoa maxi, unamuweka Musonda[emoji23], aisee jamaa kanishangaza sana, yaan unacheza na timu inafanya low block wewe Unamtoa dribbler unaweka mrukaji?
AF sasa anamtoa mzize anamuweka okrah, na wakati ni heri angetoka max for okrah, yaan jamaa ni debe tupu