Gamondi ni hana uwezo wakufanya mabadiliko

Gamondi ni hana uwezo wakufanya mabadiliko

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
630
Reaction score
2,151
Kama mashabiki wa Yanga sc tutaendelea kumfumbia macho huyu kocha, tutajikuta tunaupoteza ubingwa katika mazingira ya kijinga sana. Niwakati wa wanayanga kupaza sauti zetu kuashiria kutilia shaka maamuzi yake.

Hivi inaingiaje akilini Pacome zouzou anaumia wewe unamuweka Guede? How come? halafu unaforce mzize akacheze pembeni, yaan unafaridi Mussa, shekhan, okrah, wote hao wanaweza kuzima hiyo nafasi vizuri wewe unamuweka Guede hapana huyu jamaa hana akili.

Unamtoa maxi, unamuweka Musonda[emoji23], aisee jamaa kanishangaza sana, yaan unacheza na timu inafanya low block wewe Unamtoa dribbler unaweka mrukaji?

AF sasa anamtoa mzize anamuweka okrah, na wakati ni heri angetoka max for okrah, yaan jamaa ni debe tupu
 
Kijambio kinakuwasha, unadhani Mpira unachezwa mdomoni?

Mtu hata kupiga danadana mbili hujui unamvunjia heshima kocha aliyeipeleka Yanga robo fainali ya club bingwa?

Pumbavu kabisa, Nani aliwaambia msitafute kazi za kufanya mkadhani. Kubet ni ajira?
 
Mbaya zaidi msweden huyu lin kawa shabiki wa yanga
 
Kocha amepoteza mchezo wa pili mnamlaumu siyo kocha
Akipoteza michezo mi 5 si mta mpiga?🤣
Mpira ni mchezo wa makosa ukikosea mpinzani anatumia nafasi vizuri

Wewe endelea kumlaumu kocha tuu
 
true. useless tactical wise. amna kocha mule. leo watu wameona his capacity
 
Back
Top Bottom