Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

Mind games za timu za Africa hizo, Al Ahly ndo kiongozi wao, hao Mamelod nao walikua na propaganda kama hizo za fulani hachezi mara anacheza.

Sijui kama huwa zinawasaidia.
 
Kocha ana utoto sana hayo sio maneno ya kuongea kwenye press kubwa kama hiyo..

Yanga inaonekana kituko na uongozi was yanga unaonekana ni mbovu kuwai kutokea
Kazi ya kocha ni kusimamia kila kitu shida yenu mnataka kuficha vitu ambavyo vinatakiwa viwe wazi yeye ni kocha anatakiwa kupanga Timu na mfumo kwa Wachezaji wote sio wengine hawapo baadae Timu ikifungwa atalaumiwa yeye ndio maana ya hizi Conference mazee...kwa hiyo aseme mambo yapo sawa huku viongozi wameshindwa kuwasafirisha wakina Key kwa siku tatu...
 
Baada ya game ntakurudia
 
TISHIO KWA DAR YOUNG AFRICANS FC

Kocha Rhulani Mokwena Hloae wa Mamelodi aichambua timu ya Yanga na wachazeji utadhani ni mchambuzi wetu mahiri Ramadhani Mbwaduke


View: https://m.youtube.com/watch?v=Di2DAMYL0XQ
Kocha Rhulani Mokwena Hloae anasema kwa kuwataja majina wanajua kina Aziz Ki a.k.a master key mBurkina-Faso, Khalid Aucho mGanda, pia Mutambala, Yao uchezaji wao wa kupanda shuka, ukuta wa Job na Ibrahim .. mbele Musonda, Gwede ... kuwa ni wachezaji hatari wa kimataifa wa nchi zao bila kusahau Mzize ....
 
Mambo ya Yanga yanakuwasha sana wewe binti
 
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Toka lini timu inasafirisha mchezaji aliyekuwa anaitumikia timu ya Taifa lake? Hapo Viongozi wa Yanga wamekoseaje na wamechelewaje kuwasafirisha wachezaji waliokuwepo national teams?
 
Propaganda hizo ,nimeona video clip wapo kambini avic town , Pacome , aziz ki , diara , Yao , b guede na aucho .
Achana na Habari za uchochoroni yanga wana vyanzo vya Habari watu wasiwe wavivu wa kuletewa Habari Feki , tafuta Habari za kweli .
 
Hii michezo haitawasidia.

Kipigo kiko pale pale.
 
Mtego huo .... Ni sawa na kumjibu "Mind your bussiness"
 
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Toka lini timu inasafirisha mchezaji aliyekuwa anaitumikia timu ya Taifa lake? Hapo Viongozi wa Yanga wamekoseaje na wamechelewaje kuwasafirisha wachezaji waliokuwepo national teams?
Umasikini ni mbaya sana yaani unataka tujadili 800 usd mbona Mamelodi ndio imewatumia tiketi wachezaji wake ingawaje ni swala la SAFA usiwe unajifanya unajua kitu wakati unaamua kwa kutumia umasikini wako hao wachezaji kila wakienda huko inakua mvutano kuja kisa nauli yenyewe chenji tu hiyo...
 
👇🏿
 

Attachments

  • 034E2552-855A-42B9-BF7B-118662DD5230.jpeg
    496.7 KB · Views: 2
  • EC4FE424-1DFE-41EC-A791-64BD8D8BF507.jpeg
    1.2 MB · Views: 2
  • 85BC4A50-A3E0-48DD-925F-9688ADF6EB0D.jpeg
    450.9 KB · Views: 2
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Toka lini timu inasafirisha mchezaji aliyekuwa anaitumikia timu ya Taifa lake? Hapo Viongozi wa Yanga wamekoseaje na wamechelewaje kuwasafirisha wachezaji waliokuwepo national teams?
Onana alisafirishwa na Man U kwenda Ivory Coast kucheza timu ya taifa
 
Dogo bwana, ebu ficha utupu wa hilo fuvu lako. Huo sio wajibu wa club kusafirisha wachezaji wa timu za taifa. National team kupitia vyama vyao vya soka ndio vunawajibu wa kuwaandalia ticket za go and return. Pumbavu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…