Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi

#FutbalPlanetUpdates

1727635240689.jpg
 
"Simba Sc wana ndoto ya kutufunga ili wafurahi sie tunataka kuwafunga ili tuwe mabingwa hiyo ndio tofauti" - Gamondi

#FutbalPlanetUpdates

View attachment 3124735

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sio mbali Sanaa na sisi Kama Simba sijui Kama tutaweza kuwalaza na viatu YANGA.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Back
Top Bottom