Gamondi: Simba Wana ndoto kubwa ya kuifunga Yanga

Yanga ili kushinda derby tunahitaji kuweka mfukoni wachezaji watatu tu,

1. Debora asisumbue katikati na kupiga pasi za mwisho, tuhakishe anapuyanga na kuwa mzuzuraji tu. Huyu ndie roho ya simba kwasasa , huyu apewe Mudathir azurure nae kwa dkk 90.

2. Kibu mkamiaji asiingie kwenye box, asifunge au kusababisha penati. Apewe mtu wa kuzurura nae kama Aucho.

3. Kapombe mkamiaji asipande na kupiga krosi zake, apewe Mzize amkabe haswa asicheze mpira, tukishika hao watatu simba kwisha habari yao watakula 3 zinatosha .

Naziona goli mbili za Dube na moja Pacome! Pia kuna penati ya kumuangusha Aziz Ki ambayo Baka atapewa kupiga, atapiga mnazi na boli kwenda kutua kizimkazi!!
 
[emoji16] una utani na afande top scorer
 
Mzize akiingia sub ni habari nyingine tena weka mbali na watoto. ile mechi Simba anakula chuma tano angalia Mzize alivyoingia alivyokuwa anawapelekesha wachezaji wa Simba. Angalia mechi ya ngao ya jamii alivyoingia tena sub alivyowapa tabu wachezaji wa Simba, kuna moja amefanya kazi kubwa na ngumu kisha kamtengea Chama nafasi ya wazi kabisa, Chama akaipoteza. Binafsi namuona Mzize ni msaada mkubwa akitokea sub. Siku hizi namuona Gamondi ni muhumini wa mambo ya kiufundi sio tena yule wa kutaka wachezaji wakimbie kimbie kila muda hivyo huenda Yanga ikaamua kuipa Simba possession halafu wao wakachagua kucheza counter attacks kwavile wana watu wenye spidi.
 
Tuombe uhai,safari hii mtatafutana,hamtoki asilani,sijui mtasingizia nini
Huwa nikiwaonea huruma sana mbumbumbu , kufungwa derby kunauma sana, tena makonzi mfululizo noma sana, ukweli makolo wameumia sana mioyo na bahati mbaya wanapaswa kukubali na kuzoea kufungwa maani ni haki yao uwezo wao mdogo, usajili wa ndondo cup. Yanga imepiga hatua kubwa mbele kwasasa si level ya Simba inayocheza kombe la mademu shirikisho. Yanga iko kombe la wanaume klabu bingwa.

Mtu kama Max mmoja tu ni sawa na wachezaji watatu wa Simba, Pacome mmoja ni sawa na wachezaji sita wa simba, Aziz Ki ni sawa na wachezaji watano wa simba, Baka mmoja atafanya kazi zaidi ya beki zote za Simba uzikusanye pamoja.

Ila tukumbuke Mpira ni mchezo wa wazi, anaejua anaonekana tu, namba hazidanganyi, minara ya 4G na 5G inasoma, ila mbumbumbu kujidanganya na kujifariji inaruhusiwa, japo tarehe 19 wataivimbia Yanga na kuchapwa 3G tu.

Kwa kufuata makaratasi Yanga ni bora zaidi na Simba atakula 3-0, japo wakijitutumua droo wanaweza kuipata , japo kwa tochi!!
 
Duh gazetiiiiii,mtakoma kummq,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mzize akiingia sub ni habari nyingine tena weka mbali na watoto. ile mechi Simba anakula chuma tano angalia Mzize alivyoingia alivyokuwa anawapelekesha wachezaji wa Simba. Angalia mechi ya ngao ya jamii alivyoingia tena sub alivyowapa tabu wachezaji wa Simba, kuna moja amefanya kazi kubwa na ngumu kisha kamtengea Chama nafasi ya wazi kabisa, Chama akaipoteza. Binafsi namuona Mzize ni msaada mkubwa akitokea sub. Siku hizi namuona Gamondi ni muhumini wa mambo ya kiufundi sio tena yule wa kutaka wachezaji wakimbie kimbie kila muda hivyo huenda Yanga ikaamua kuipa Simba possession halafu wao wakachagua kucheza counter attacks kwavile wana watu wenye spidi.
Binafsi napata shida kuamini Simba ataifung yanga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huwa nikiwaonea huruma sana mbumbumbu , kufungwa derby kunauma sana, tena makonzi mfululizo noma sana, ukweli makolo wameumia sana mioyo na bahati mbaya wanapaswa kukubali na kuzoea kufungwa maani ni haki yao uwezo wao mdogo, usajili wa ndondo cup. Yanga imepiga hatua kubwa mbele kwasasa si level ya Simba inayocheza kombe la mademu shirikisho. Yanga iko kombe la wanaume klabu bingwa.

Mtu kama Max mmoja tu ni sawa na wachezaji watatu wa Simba, Pacome mmoja ni sawa na wachezaji sita wa simba, Aziz Ki ni sawa na wachezaji watano wa simba, Baka mmoja atafanya kazi zaidi ya beki zote za Simba uzikusanye pamoja.

Ila tukumbuke Mpira ni mchezo wa wazi, anaejua anaonekana tu, namba hazidanganyi, minara ya 4G na 5G inasoma, ila mbumbumbu kujidanganya na kujifariji inaruhusiwa, japo tarehe 19 wataivimbia Yanga na kuchapwa 3G tu.

Kwa kufuata makaratasi Yanga ni bora zaidi na Simba atakula 3-0, japo wakijitutumua droo wanaweza kuipata , japo kwa tochi!!
Yaaah mkuu upo sahihi

Back
Top Bottom