GAMONDI: Yanga haina kikosi kipana

GAMONDI: Yanga haina kikosi kipana

Wabongo wengi tafsiri ya kikosi kipana bado imekuwa ni tatizo.

Wengi wanaamini kuwa na idadi kubwa ya wachezaji ndio maana halisi ya kikosi kipana wakati katika kundi hilo kubwa ni wachache tu ndio tegemeo.

Sasa una wakina Mkude, Skudu, Konkoni, Farid Mussa, Nkane, Kibabage nk ambao wote hao wanapata nafasi ya kucheza ikiwa wachezaji wenzao wanaopewa nafasi katika hizo position wana majeraha

Kwa Tanzania hapa bado sana kusema tuna timu zenye vikosi vipana.
Niliwaambia mapema ila kama kawaida ya haters wakarudi kwenye asili yao
 
Back
Top Bottom