Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuu Matola, Kwa maneno hayo nimegonga like, naongeza reputation power,Halafu ukumbuke vijana wengi wa umri unaoutaka wewe msemo wao ni huu hapa:
Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm.
Hata mimi nahis age matters lkn nkahisi pengine nakosea
Haswaaaaa. Sijui mkuu Kiranga alisoma hapa?Asante Mwali maana hapa ni lazima tuelezane ukweli ili baadaye mtu asije akaona uwepo wake JF ulikuwa useless.
okay, ngoja nikachukue party wear zangu kutoka dry cleaner; nikimaliza naenda barber kuweka wave na scrubbing; a little spa treatment; na namalizia kwa dentist ku-whiten meno. Nikitoka hapo guys will want to be with me and girls will want to be me. lolMimi na wewe tukitoka hii party at 6 AM tunaenda kinondoni kunywa supu, tukimaliza tunaunganisha some sort of beach party hadi usiku ukifika tena (I hope uncle Kaizer hatapita mitaa hii, akiona atanirudisha home at once!)
plz Usisahau electric harger na alcaline batteriesokay, ngoja nikachukue party wear zangu kutoka dry cleaner; nikimaliza naenda barber kuweka wave na scrubbing; a little spa treatment; na namalizia kwa dentist ku-whiten meno. Nikitoka hapo guys will want to be with me and girls will want to be me. lol
Haswaaaaa. Sijui mkuu Kiranga alisoma hapa?
The Boss, Kaunga na MwanajamiiOne neno hili!
"Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm."
Kila mtu ajipange sasa. Kuna Cinderella wanaondoka midnight,
then kuna kina sisi: last man standing: until there is no drink left
straight girl + gay guy = party till we dropplz Usisahau electric harger na alcaline batteries
mana you and I function on both. hahahahaha :A S wink:
Mimi nashindwa hata kuelewa Degree na CPA sijui zinahusika vipi katika kanuni namba moja ya kumfikisha Mwanamke kileleni? hawa wanakuja kuyatambuwa makosa yao wakishafikisha miaka 35 mpaka 40 na hapo Wanaume karibu wengi wanaopaswa kuwaowa either wanakuwa na wake zao au wapo kwenye serious relationship matokeo yake Degree zao zinaishia kuvinunuwa viserengeti boy a.k.a Baroteli kwa ajili ya kuwakuna nyegez zao.
Too much complication vijana wa leo, sometime maisha yachukulie simple tu na wengi naona wanaponzwa sana na mambo ya kumfananishe Mwanaume wake afanane na fulani au wawe na mafanikio ya fulani, lakini badly watu wengi hawafahamu hasa kiufasaha nature of other people income.mmh matola sidhani kama watu wanaolewa ili afikishwe kileleni tu, ebu nambie umeolewa na age mate mara mwenzio unamuona akili zake za kitoto tu, afikirii future, uwezo wake wa kufikiri ni siku moja, unadhani hata huko kilelei utafika kwa shagwe, matokeo yake wakati wa zoezi unajiwazia afanye haraka niende kwenye biashara zangu
Mume bora anatengenezwa kama ilivyo kwa mke bora, huwezi kwenda mtaani na kukuta right man/woman anaemeet requirements zako exactly, so take time mzungumze coz mapungufu mengine yanatokana na malezi ya familia zetu coz mara nyingi familia duni au za kipato cha wastan watoto wao huwa wachakarikaji mapema kuliko familia bora. But all in all angalia upendo wako na level ya ushawishi wa kum-badilisha awe vile upendavyo.
Wish luck
Nna miaka 26 binafsi nnahisi nna tatizo coz mind set yang inanambia mwanaume anenifaa ni mwny umri wa miaka 28-32 but kuna mvulana ananiaproach phyisicaly amequalify vigezo vyangu vyote but when it comes to age namwona mdogo coz amenipita miezi 4 tu,wasiwasi wangu ni huko mbeleni,kiukweli sijisifii am very smart gal(critical thinking),nnapenda struggle,kujituma shortly am grown up siendekezi usistaduu kwenye maisha japo najipenda but this guy namwona sio mchakarikaji kwenye maisha he count himself like a young boy not like a real man,pia ana inferiority flan both we have a degree kuna kipindi mimi nkaanza kusoma CPA akawa down kabsaaa akihisi ntakuwa in a better place than him ss nnachowaomba mnishauri je mtu kama huyu tutacop mbeleni?au je mimi ndie mwenye tatizo la high expectation toward my partner?an is it right for hubby and wife to follow under the same age??????????
Naombeni ushauri lakn mnionee huruma kweny lugha za matusi wajameni
Ujinga huu, nenda Love connect.Jibu la rahisi,,,mimi ni almost 28,,,kwa ivo achana naye,,niruhusu niku-PM kama height yako ni atleast 5'9"..You could be my Julieth and I, your Romeo...hapo kwenye ku-hustle kwa ajili ya maisha bora ndo umenigusa zaiiiiiidi sana..