Gap gani ya umri ndo safi kwa wapenzi especialy unaetegemea akuoe/umuoe

Gap gani ya umri ndo safi kwa wapenzi especialy unaetegemea akuoe/umuoe

Halafu ukumbuke vijana wengi wa umri unaoutaka wewe msemo wao ni huu hapa:
Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm.
 
Halafu ukumbuke vijana wengi wa umri unaoutaka wewe msemo wao ni huu hapa:
Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm.
Mkuu Matola, Kwa maneno hayo nimegonga like, naongeza reputation power,
naku-mention na naku-quote. then naenda page yako kuacha visitor message!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nahis age matters lkn nkahisi pengine nakosea

Umri upishane kwa wastani wa miaka mingapi? I think 20 yrs ndo poa...inakuwa ni uhusiano wa baba na mtoto, teh teh teh
 
Mkuu Matola, Kwa maneno hayo nimegonga like, naongeza reputation power,
naku-mention na naku-quote. then naenda page yako kuacha visitor message!
Asante Mwali maana hapa ni lazima tuelezane ukweli ili baadaye mtu asije akaona uwepo wake JF ulikuwa useless.
 
Last edited by a moderator:
Asante Mwali maana hapa ni lazima tuelezane ukweli ili baadaye mtu asije akaona uwepo wake JF ulikuwa useless.
Haswaaaaa. Sijui mkuu Kiranga alisoma hapa?
The Boss, Kaunga na MwanajamiiOne neno hili!
"Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm."
Kila mtu ajipange sasa. Kuna Cinderella wanaondoka midnight,
then kuna kina sisi: last man standing: until there is no drink left
 
Dah ni kweli mi mwenyewe nina mdada anafosi harusi wakati ndo kwanza naitafuta 26, itabid aisome quote hii ili ajue muda bado party inaendelea na ndo kwanza dj anatafuta cd ya kwaito watu tupige steps mpaka majogoo
 
Matola na Mwali, mie wa 24 y/o ni wa saa ngapi 8pm au?
Mimi na wewe tukitoka hii party at 6 AM tunaenda kinondoni kunywa supu,
tukimaliza tunaunganisha some sort of beach party hadi usiku ukifika tena
(I hope uncle Kaizer hatapita mitaa hii, akiona atanirudisha home at once!)
 
Last edited by a moderator:
hayo ndo matatizo ya demu akishapiga buku...........bora nikaone kijijini
 
Mimi na wewe tukitoka hii party at 6 AM tunaenda kinondoni kunywa supu, tukimaliza tunaunganisha some sort of beach party hadi usiku ukifika tena (I hope uncle Kaizer hatapita mitaa hii, akiona atanirudisha home at once!)
okay, ngoja nikachukue party wear zangu kutoka dry cleaner; nikimaliza naenda barber kuweka wave na scrubbing; a little spa treatment; na namalizia kwa dentist ku-whiten meno. Nikitoka hapo guys will want to be with me and girls will want to be me. lol
 
plz Usisahau electric harger na alcaline batteries
mana you and I function on both. hahahahaha :A S wink:
navman-s30-3d-mains-power-charger.jpg
battery_alkaline.jpg
 
Matola huwa unakosa ustaarabu popote pale unapo coment nahisi hujamwelewa kuwa katika mahusiano na ikija katika ndoa si suala la kukurupuka tu we kiboko yako zomba
 
Haswaaaaa. Sijui mkuu Kiranga alisoma hapa?
The Boss, Kaunga na MwanajamiiOne neno hili!
"Getting married before 30 is just like leaving a party before 10 pm."
Kila mtu ajipange sasa. Kuna Cinderella wanaondoka midnight,
then kuna kina sisi: last man standing: until there is no drink left

I kinda agree with the statement; at 30 wengi wetu wanakuwa mature na wanajua nini wanachotaka katika mahusiano na maisha; l wish tungefanya karesearch kidogo ka humu kwa watu walioseparate na partners zao walioana katika umri gani, tungeweza pata picha fulani.

I am more into settling into relation now kuliko when l was 23; tena nakumbuka nilishawaambia nyumbani kwamba sitaolewa kabisa coz sijaona mifano mizuri ya ndoa. Lkn sasa hivi hiyo misimamo imepungua kwa kiwango kikubwa sana na mama yangu anacheka tu akirecall nilichokuwa nasimamia back then.

So l agree at 30 is the right time kusettle down if one wants settle down.
 
Mimi nashindwa hata kuelewa Degree na CPA sijui zinahusika vipi katika kanuni namba moja ya kumfikisha Mwanamke kileleni? hawa wanakuja kuyatambuwa makosa yao wakishafikisha miaka 35 mpaka 40 na hapo Wanaume karibu wengi wanaopaswa kuwaowa either wanakuwa na wake zao au wapo kwenye serious relationship matokeo yake Degree zao zinaishia kuvinunuwa viserengeti boy a.k.a Baroteli kwa ajili ya kuwakuna nyegez zao.

mmh matola sidhani kama watu wanaolewa ili afikishwe kileleni tu, ebu nambie umeolewa na age mate mara mwenzio unamuona akili zake za kitoto tu, afikirii future, uwezo wake wa kufikiri ni siku moja, unadhani hata huko kilelei utafika kwa shagwe, matokeo yake wakati wa zoezi unajiwazia afanye haraka niende kwenye biashara zangu
 
Too much complication vijana wa leo, sometime maisha yachukulie simple tu na wengi naona wanaponzwa sana na mambo ya kumfananishe Mwanaume wake afanane na fulani au wawe na mafanikio ya fulani, lakini badly watu wengi hawafahamu hasa kiufasaha nature of other people income.

Hapa ndio kwenye tatizo kubwa, through my experience unakuta msichana na mvulana labda 26 by 24 years, lakini Mwanamke unakuta anataka Mwanaume wake a behave kama mwanamume mwenye miaka 40 plus, hili kamwe haliwezekani, kijana akijump umri wa kupitia stage kadhaa za ukuaji ni lazima atakuja kuharibikiwa uzeeni hasa akiwa anamiliki uchumi mkubwa, hivyo ndio vizee vya miaka 60 unakuta tunakesha navyo wote kwenye baa za Sinza wakati alipaswa kura good time na wajukuu zake katika umri huo.
 
Mume bora anatengenezwa kama ilivyo kwa mke bora, huwezi kwenda mtaani na kukuta right man/woman anaemeet requirements zako exactly, so take time mzungumze coz mapungufu mengine yanatokana na malezi ya familia zetu coz mara nyingi familia duni au za kipato cha wastan watoto wao huwa wachakarikaji mapema kuliko familia bora. But all in all angalia upendo wako na level ya ushawishi wa kum-badilisha awe vile upendavyo.

Wish luck

Asante hii imekaa vizuri, wanaume wote wapo sawa, ila mume/mke bora huandaliwa, take time kumuandaa mke/mume wako bora! Hizo ready made zina taabu zake!
 
Nna miaka 26 binafsi nnahisi nna tatizo coz mind set yang inanambia mwanaume anenifaa ni mwny umri wa miaka 28-32 but kuna mvulana ananiaproach phyisicaly amequalify vigezo vyangu vyote but when it comes to age namwona mdogo coz amenipita miezi 4 tu,wasiwasi wangu ni huko mbeleni,kiukweli sijisifii am very smart gal(critical thinking),nnapenda struggle,kujituma shortly am grown up siendekezi usistaduu kwenye maisha japo najipenda but this guy namwona sio mchakarikaji kwenye maisha he count himself like a young boy not like a real man,pia ana inferiority flan both we have a degree kuna kipindi mimi nkaanza kusoma CPA akawa down kabsaaa akihisi ntakuwa in a better place than him ss nnachowaomba mnishauri je mtu kama huyu tutacop mbeleni?au je mimi ndie mwenye tatizo la high expectation toward my partner?an is it right for hubby and wife to follow under the same age??????????

Naombeni ushauri lakn mnionee huruma kweny lugha za matusi wajameni

Jibu la rahisi,,,mimi ni almost 28,,,kwa ivo achana naye,,niruhusu niku-PM kama height yako ni atleast 5'9"..You could be my Julieth and I, your Romeo...hapo kwenye ku-hustle kwa ajili ya maisha bora ndo umenigusa zaiiiiiidi sana..
 
Ujinga huu, nenda Love connect.
 
Kwa jinsi ulivyo mchambua hivyo na wewe umeshaona hayo kwako ni mapungufu ni vyema ukamuacha aende zake usijidumbukize sehemu kwa walakini.

Ni bora ukatafuta unayeona hana udhaifu ulio utaja hapo Usije ukaanza kuadmire wengine.

Kifupi huyo huwezi kumpenda.

Nilidhani utazungumzia swala la umri tu kama heading ya topic ilivyo kumbe sivyo!
 
Back
Top Bottom