Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Hahahah mkuu umeongea matakataka mkuu.Tatizo la sisi waafrika kubwa ni moja hatuna wagunduzi wa vitu na teknolojia mbali mbali.Ndipo tatizo kuu lilipo.Swala sio siasa Wala Nini ulaya imetawaliwa na Hadi madikiteta akina Hitler lakini kwenye ugunduzi ilikuwa mbele Hitler akiwepo
China ilijifungia milango kabisa ikawa haiuzi chochote nje Wala kununua chochote nje (closed economy) lakini ilikuwa na wagunduzi kibao haikutetereka kiuchumi kwa kutouza nje.Ilipoglfungua milango ikawa bado kinara wa uchumi.
Nchi bila kuwa na wagunduzi hata uwe na siasa Safi vipi utakuwa lofa tu
Halafu unamsingizia mzungu! View attachment 1247712
Siasa safi inatengeneza mazingira safi hivyo watu wataumiza kichwa lazima wapige hatuaTatizo la sisi waafrika kubwa ni moja hatuna wagunduzi wa vitu na teknolojia mbali mbali.Ndipo tatizo kuu lilipo.Swala sio siasa Wala Nini ulaya imetawaliwa na Hadi madikiteta akina Hitler lakini kwenye ugunduzi ilikuwa mbele Hitler akiwepo