Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
 
Panda treni ya SGR
 
Mi nataka gari ya kutoka sumbawanga kwenda Dodoma zipo wakuu??
 
Nende Mbezi Magufuli Muda huu upande gari inayotoka inayopita Moro Maana gari zinatembea saa24 siku hizi.
 
Panda ya za saa tano usiku utafika saa 9 usiku. Ya saa 12 utafika NNE unusu au tano
 
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Nenda magufuli stendi panda basi zinazoenda mkoa kama mwanza,kigoma,tabora au mbeya.
Sasa una uchaguzi kuna gari zinaanza saa 9,10,11 na 12 uchaguzi ni wako .
Angalizo usipande basi linaloishia moro utalia 😂😂😂
 
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Ukipanda gari za mbeya moro saa 2 tu
 
Back
Top Bottom