Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Nenda pale Magufuli, kuna Ambazo tunaondoka 11:00 asubuhi, au Shabiby ya saa 9:00 usiku unapanda pale shekilalango au Magufuli
 
Abood sasa hivi anatoa gari ya kwanza Dar mor saa 4:30 asubuh had saa tatu asubuh upo Moro..nenda mbezi saa 4 alfajiri uwezi kosa gari kama sio za zinazotika mikoani tandahimba huko basi abood anawahi sana kutoa gari panda hiyo
 
Back
Top Bottom